Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Awamu ya tano ndiyo iliyoasisi ajira za kifichoni. Taratibu hazikufuatwa kabisa kabisa. Awamu hiyo ilipoingia tu Taasisi za Serikali kwa kiasi kikubwa ziliacha kushindanisha wafanyakazi. Ikawa ni...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
HUYU NDIYE RAIS SAMIA NDANI YA SIKU 69 ZA UONGOZI WAKE. Na Elius Ndabila (MHITIMU LLB-MZUMBE) Mara nyingi duniani kote kiongozi wa nchi huanza kupimwa utumishi wake kwa kipindindi Cha siku mia...
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Mwanza na Mbeya ni mikoa inayotegemeana na kutendeana haki, hongereni sana. Ujio wa komredi Albert Chalamila unakwenda kuinua zaidi uchumi wa mkoa wa Mwanza, jambo la muhimu ni kumpa ushirikiano...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni kawaida ya Mwenyekiti wa chadema kuja na operesheni mbalimbali kwa madhumuni ya kula hela za Chadema. Operesheni hizi huwa hazina tathmini ya kufikiwa kwa matokeo tarajiwa. Zilikuja operesheni...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Naomba kujua Katiba inasema vp hapa? Maana kama Rais wa Jamhuri hawezi kwenda, mbona Makamu wa Rais asimuwakilishe? Je Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya nje hawawezi kumuwakilisha Rais wa...
5 Reactions
63 Replies
6K Views
Hakimu mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya hakimu mkazi Manyara Mh. Simon Kobero mnamo tarehe 27/ 05/2021 amemhukumu kwenda jela kutumikia kifugo cha miaka 2 au kulipa faini ya sh. 300,000/= mwenyekiti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge Charles Mwijage amesema Watanzania na Wabunge walio wengi hawataki Uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kuanzia hili ni muhimu na lenye nia njema. Tumetoka kwenye udikteta uliokubuhu na hivyo kuna mwanya wa kufanya reconcilliantion. Push your agenda to meet her. Na wala hamuendi kujikomba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanadamu mmoja alikua akisafiri na mkewe wakitumia usafiri wa punda yaani wakiwa wamempanda punda yule lakini wakiwa njiani katikat ya safari yao wakakutana ma wanadamu wakawapazia sauti...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Christina Rweshabura, ameyasema hayo leo mbele ya Wahariri wa vyimbo vya habari jijini Dar es Salaam wakati wa mafunzo ya mpango kazi kwa ajili ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
RC Amos Makala ametema CHECHE ya kwamba ,kuhusu "vigodoro" na ngoma zake anavifahamu na ATAVIFANYIA KAZI. Hii imekuja baada ya baadhi ya wanadarisalama kuchoshwa na "VIGODORO " na kuonekana kuwa...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Tulimsikia Rais Magufuli wakati akimwapisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisema kuwa Profesa Kabudi na William Lukuvi hawawezi kuwa miongoni ya wagombea wa Urais wa CCM kwa mwaka 2025, kwa kuwa...
15 Reactions
88 Replies
9K Views
Tangu wiki hii ianze tumeshuhudia ushauri wa ajabu sana kutoka kwa Wabunge wa viti maalum. Kila wanachoongea ni pumba tupu hadi unajiuliza hawa watu walipatikana vipi. Ushauri wangu kaeni kimya...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali...
4 Reactions
615 Replies
46K Views
Ni wazi kwamba kwasasa Rais Magufuli anaogopwa Sana kuliko mtanzania yeyote aliyewahi kuwako mpaka Sasa. Nadhani Rais magufuli anaogopwa kuliko alivyoogopwa Nyerere aka mchonga Mwinyi, Mkapa na...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuzindua Shamba la Miti Chato kesho Januari 27, 2021 katika eneo la...
4 Reactions
64 Replies
10K Views
Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake...
25 Reactions
136 Replies
10K Views
Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni...
35 Reactions
289 Replies
29K Views
Kipindi cha ugonjwa hatari wa corona ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na...
11 Reactions
109 Replies
10K Views
Back
Top Bottom