The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,695
- 8,209
Sekta binafsi ndiyo mwarobaini wa ajira nchini. Nchi za ulaya pamoja na kuwa na teknolojia pamoja na wataalamu lukuki lakini hazijafikia kiwango cha kuwa na madaktari wanaozurura mtaani, walimu wanaozurura mtaani pamoja na wauguzi wanaozurura mtaani eti kwa kisingizio cha ajira ni tatizo la dunia nzima
Sekta binafsi ndiyo taa ya uchumi na ajira zetu zaidi ya asilimia 80 ya waajiriwa huko nchi za ulaya ni wale waliopo sekta binafsi.
Mfano anuai ni pale Serikali ilipowatenga walimu wa shule binafsi wakati wa korona huku ikishindwa walau kuwabust wapate mkate wao hali iliyopelekea wengi wao kuona ajira zao kule si za uhakika na pengine wamejitokeza kuomba ajira za serikalini mwaka huu.
Huwezi kunyima pasport raia wako huku ukiwa na tatizo la ajira huo ni upuuzi,