Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni takriban miezi saba sasa tangu uwepo wa bunge hili, Mbunge wa Monduli Mh. Fredrick Lowassa hatujamsikia akichangia chochote kama alivyokuwa mtangulizi wake, Mh. Julius Kallanga aliyekuwa na...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
LUHAGA MPINA AMSIFU BUNGENI MH. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KASI NZURI YA UJENZI MIRADI YA SGR KIPANDE CHA MWANZA- ISAKA NA MIRADI YA TARURA "Mhe. Spika na mimi nashukuru sana kwa kunipa nafasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Assalam wanajamvi! poleni na majukumu ya kila siku ya kujikwamua kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni! Niende moja kwa moja kwenye hoja, neno kudemka lilipata umaarufu miezi kadhaa likiwa na maana...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania Majaji wanapatikanaje? Au Rais anaweza akamteua mtu yeyote kuwa Jaji? Sioni kama kuna mchakato wowote unaoihusisha mahakama kuwapata majaji. Naona kama serikali ndio walioshika nyenzo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo anga la Tanzania limetikiswa na mbunge machachari kutoka Sengerema William Mganga Ngeleja baada ya kutangaza kurudisha pesa zote za Escrow. Hii itamsaidia mbunge kujisafisha na makando kando...
3 Reactions
82 Replies
8K Views
Kwanza, Dodoma inaweza kuendelea kubaki kuwa makao makuu ya serikali, kisheria na kiutaratibu katika makaratasi ili kuwaridhisha wanaopenda kuganda katika mawazo ya Nyerere na kuona anaendelea...
3 Reactions
3 Replies
877 Views
Kuna wimbi la kuwalaumu watu kuwa wakati wa Mheshimiwa Marehemu JPM hawakuweza kuitetea kweli au kuisema haki, hivi ni nani alikuwa na uthubutu wa kumpinga kumshauri au kumkosoa? Tuseme ukweli...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Katika kipindi cha maswali na majibu, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amesema Naibu Waziri hawezi kusema kitu tofauti na alichozungumza Rais. Amesema hayo baada ya Mbunge Kunti Majala...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Rais Kikwete ateua Katibu wa Ikulu Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amemteuwa Michael Mwanda kuwa Katibu Mkuu wa Ikulu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
MAMA SAMIA ANAFANYA KAZI, MSIDHANI KALALA IKULU. Na, Robert Heriel Kuna watu wananifurahisha sana, yaani ukiwasikiliza ni kama wachekeshaji fulani hivi ambao hawajatambua vipaji vyao. Wapo...
32 Reactions
95 Replies
8K Views
Nimemsikiliza yule mwanachi wa Mkoa wa Mara aliempigia simu Mh. DC kwa lengo la kumkumbusha unyama wake. Maneno ya mwananchi yule ndiyo kiu yetu wengi kuona sura mpya kwenye orodha ya wakuu wa...
0 Reactions
1 Replies
833 Views
MWIGULU ANATUFUNDISHA JAMBO HAPA. Na Thadei Ole Mushi Mimi si muumini wa iyena iyena lakini katika hili acha niseme kidogo. Mojawapo ya picha ya Bunge iliyo trend Sana Jana ni ya Mwigulu...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Na Thadei Ole Mushi. Elon Musk ni Mtu maarufu Sana Duniani na Tajiri mkubwa Sana. Anamiliki kampuni la SpaceX ambalo huunda vifaa vya kuhama Orbit Moja kwenda nyingine au kwa Lugha rahisi huunda...
29 Reactions
64 Replies
6K Views
Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze Dini ya Kiislamu na aweze kuja kuwa Sheikh maarufu. Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran...
11 Reactions
113 Replies
10K Views
Kwa sababu ya miaka 23 mfululizo ya kutawaliwa na Kiongozi mmoja, baadhi ya Watanzania waliathirika kisaikolojia kiasi kwamba waliamini hakuna kama Nyerere, na wengine wakahofu kuwa bila Nyerere...
5 Reactions
26 Replies
9K Views
Taarifa Kwa Umma kutoka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, naomba nijielekze kwenye mada moja kwa moja. Wakati wa serikali ya awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilikuwa ni nadra sana kupita week tatu, mwezi au miezi miwili bila...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Hamjamboni wanangu hapa jamvini? Mie baba yenu sijambo na nina jambo limenikera. Akihutubia mkutano wa wanawake jijini Dodoma, rais Samia alisema kuwa wanawake ndiyo wenye dunia. Kwa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vodacom ilishinikiza kupunguzwa kwa timu ligi kuu bara kutoka 20 mpaka 16 halafu leo wanakimbia kudhamini ligi kuu bara. Kama walikuwa hawana uwezo kwanini walilazimisha timu zipunguzwe kutoka 20...
12 Reactions
57 Replies
6K Views
I should be frank to Madam President on her rushed visit to Kenya to do agreements with unpredicted regime that is full of surprises and about to wind up as early as February 2022. Though I...
17 Reactions
59 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…