technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Vodacom ilishinikiza kupunguzwa kwa timu ligi kuu bara kutoka 20 mpaka 16 halafu leo wanakimbia kudhamini ligi kuu bara.
Kama walikuwa hawana uwezo kwanini walilazimisha timu zipunguzwe kutoka 20 na kuja 16?
Leo wanaikimbia ligi baada ya kuona haibu ya udhamini wa Azzam media ya billion 223.
Vodacom wameshindwa kufahamu kwamba tatizo sio Covid au usajili mpya wa line kwa kutumia mfumo wa alama za vidole Bali ni wa kuendelea kujiusisha na siasa uchwara za ccm miaka nenda miaka rudi.
Leo vodacom wanapata hasara ya billion 30, Mimi siwezi kushtuka hata kidogo na hasara huenda ikaongezeka miaka ijayo sababu ni kampuni ambayo imekuwa ikiusishwa na CCM kwa muda mrefu.
Namba zake za simu uwa zinatumika na wateja wake hawalindwi kama ilivyokuwa kwa lile tukio la Ben saanane kutekwa huku akitumia line ya vodacom na alikuwa akiwasiliana na mtu mwenye line ya vodacom.
Sababu walizozitoa nyingi hazina mashiko kwamba eti kodi kubwa huu ni uongo na ni kutaka kuichafua serikali kwanini Tigo na airtel wamepata faida?
Kwanini NMB na CRDB wamepata faida?
Hoja yangu ni nini? Kuanguka kwa vodacom ni matokeo ya kujiusisha na siasa za ccm na kutumika kuilinda ccm badala ya wateja wake.
Watu wameisusi kwa sababu ni kampuni inayotoza gharama kubwa za mawasiliano kuliko makampuni yote.
Ukweli mchungu vodacom kama kampuni ya mawasiliano wamejisahau sana na kuwadharau wateja wake na kutokuwa na ubunifu hivyo watu wengi wanaacha kuitumia na kukimbilia mitandao mingine.
Nauliza tu swali ilikuwaje vodacom arusha wakaenda makamani kutoa ushahidi huu ya mteja wao?
Ukweli unabaki pale pale kwamba vodacom kama kampuni ya simu walitoka kwenye misingi yao ya kuanzishwa na kuanza kuingia kwenye siasa sasa watanzania wameisusia
Ukweli tulio wengi tunazo line za vodacom lakini hatuweki tena salio.
Naomba liwe fundisho kwa makampuni mengine na watu wote wanaohitaji watanzania muda Fulani wawasapoti katika kazi zao waache kujiusisha na siasa za ccm au vyama vingine wajikite kutetea haki na kulinda maslahi ya watanzania.
Bado wana muda wa kurudi kwenye misingi na kusikiliza wateja na kuweka huduma kwa kujali kila kipato cha mtanzania na sio kuwa mtandao wa ubaguzi na kufanya kazi na matajiri.