Mzee Mwinyi: Baba yangu alinipeleka Zanzibar ili nikajifunze dini (Q'uran) ili niwe Sheikh maarufu, nilitokea Mkuranga

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
46,912
2,000
Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze Dini ya Kiislamu na aweze kuja kuwa Sheikh maarufu.

Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya Kiislamu.

Mzee Mwinyi anasema lakini ndoto ya baba yake ya kumuona anakuwa shehe haikutimia kwa sababu alisombwa na upepo wa kisiasa.

Lakini Mwinyi anasema yeye ni mwanazuoni.

Kazi Iendelee!
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,666
2,000
Pia amesema kwenye kitabu chake kuwa wengine walikuwa wanamtizama kwa jicho la udini,eti KWA kuwa yeye ni Muislam basi alikuwa anateua viongoz wake kwa upendeleo wa kidini, jambo hilo lilimkwaza Sana, Galatians hawajaanza leo chuki za udini,hata mama samia kaa nao KWA tahadhari,wameshaanza na kwako pia
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
14,067

Lugha uliyotumia hapa imejaa udini. Huwa nawashangaa sana watu mnaotafuta upendeleo wa kidini sijui huwa mnataka nini? Si bora hata upendeleo wa kikabila kwamba ukifaidi mnaboresha kwenu?
 
Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
1,271
2,000
Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze dini ya kiislamu na aweze kuja kuwa sheikh maarufu.

Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya kiislamu.

Mzee Mwinyi anasema lakini ndoto ya baba yake ya kumuona anakuwa shehe haikutimia kwa sababu alisombwa na upepo wa kisiasa. Lakini Mwinyi anasema yeye ni mwanazuoni.

Kazi Iendelee!
Sasa hapo kazi inaendelea vipi?
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,923
2,000
Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze dini ya kiislamu na aweze kuja kuwa sheikh maarufu.

Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya kiislamu.

Mzee Mwinyi anasema lakini ndoto ya baba yake ya kumuona anakuwa shehe haikutimia kwa sababu alisombwa na upepo wa kisiasa. Lakini Mwinyi anasema yeye ni mwanazuoni.

Kazi Iendelee!
Huyu mzee amezeeka sana, sasa anaonyesha kuanzia kupoteza fahamu anaanza kutoa Siri.
 
magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,327
2,000
Pia amesema kwenye kitabu chake kuwa wengine walikuwa wanamtizama kwa jicho la udini,eti KWA kuwa yeye ni Muislam basi alikuwa anateua viongoz wake kwa upendeleo wa kidini, jambo hilo lilimkwaza Sana, Galatians hawajaanza leo chuki za udini,hata mama samia kaa nao KWA tahadhari,wameshaanza na kwako pia
Gas inatoka haitoki?
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,666
2,000
Lugha uliyotumia hapa imejaa udini. Huwa nawashangaa sana watu mnaotafuta upendeleo wa kidini sijui huwa mnataka nini? Si bora hata upendeleo wa kikabila kwamba ukifaidi mnaboresha kwenu?

Umekaa udini kivip, kwenye kitabu chake mzee mwinyi kasema alikuwa anakwazika kwa kuambiwa alikuwa anateua KWA kuwapendelea waislam kwa kuwa tuh yeye ni Muislam,kwani uongo hajasema??

Na kwani ni uongo kuwa nyinyi Tabia hiyo ya kutoa lawama kama hizo mnayo?hapa juzi hata kwa mama samia si mumeanza pia??kumbe Tabia hiyo mmerithi nyinyi kutoka kwa mababu zenu,na mnataka kurithisha kwa wajukuu zenu,muache Tabia ya hovyo hivyo,had mzee kaandika kwenye kitabu,mbadilikeee
 
Mimi na huo udini wenu kaeni nao na wala sijawahi kuona faida yake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom