Tunausubiri kwa hamu uteuzi wa Wakuu wa wilaya

Kasegela

Senior Member
Mar 24, 2019
127
261
Nimemsikiliza yule mwanachi wa Mkoa wa Mara aliempigia simu Mh. DC kwa lengo la kumkumbusha unyama wake.

Maneno ya mwananchi yule ndiyo kiu yetu wengi kuona sura mpya kwenye orodha ya wakuu wa Wilaya.

Wajinga wote wondoshwe, tuletewe watu smart kama Mama

Msimdanganye Mama kwa kuchomeka walewale ambao wananchi hawawataki tena.

Leta vijana smart.

Kama mmekosa angalieni ndani ya utumushi wa umma, kuna watu wanafanya vizuri sana huko, wapeni promotion wawe Ma DC wataongoza kwa uadilifu kuliko hao wanasiasa wasio jitambua
 
Back
Top Bottom