Je, ni kweli kuwa wenye dunia hii ni wanawake? Samia Suluhu Hassan

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,709
Hamjamboni wanangu hapa jamvini? Mie baba yenu sijambo na nina jambo limenikera. Akihutubia mkutano wa wanawake jijini Dodoma, rais Samia alisema kuwa wanawake ndiyo wenye dunia.

Kwa Tanzania wanawake ni taifa kubwa. Kwani, hutafanya 51.04% ni wanawake. Kitu ambacho wale ambao si wanawake tujiulize, kama wanawake ndiyo wenye dunia kwa vile ndiyo waliowazaa wanaume, je aliyewatia mimba wakaweza kuwazaa wanaume ni nani kama siyo wanaume?

Nadhani dunia ni yetu sote jamanini akina mama hamna haja ya kutunyanyaseni. Sijui wanangu hili mnalionaje?

 
Back
Top Bottom