Habari za jioni wakuu!
Hii ni kwa GTs pekee.
Hivi Taifa letu kwa sasa ni la watu wa namna gani kati ya makundi haya hapa chini na mengine unayoyafahamu?
1-wanasiasa kwa kuwa wanamake headlines...
Naomba nitoe wito kwa wanasiasa upinzani pamoja na wanaharakati, waombe kibali cha kufanya maandamano ya amani kushinikiza uwazi wa mikataba ukiwemo mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo...
Tukubaliane kabisa kuwa CCM imepewa madaraka kuongoza nchi kwa niamba ya watanzania mil 60 bila kujali itikadi zao.
CCM kuwa madarakani sio sababu ya wanaCcm wachache ambao walishakuwa viongozi...
Marijani Abdubakari Msoffe aka Papa Msoffe ameachiliwa huru baada ya MKurugenzi wa Mashitaka (DPP) kusema hana mpango wa kuendelea na kesi dhidi yake. Walikuwa wakikabiliwa na mashtaka matano...
Kufuatia kutimiza siku 100 kwenye madaraka akiwa Rais kamili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia ameviteka vyombo vingi vya habari duniani.
Mengi yamezungumzwa sana yakiwa na mlengo wa...
Huenda Prof. Makame Mbarawa akaibukia kuubeba U-Vise President wa Visiwa vya Zanzibar.
Japo sina uelewa mzuri wa kimahusiano kati Mgombea Mwinyi na Prof. Mbarawa lakini dalidali zipo.
Marehemu JPM alitembelea kiwanda hiki na kukukta mrundikano wa viuatilifu vya mbu wa malaria. Kwa uzalendo wake akaamua halmashauri zote zinunue dawa hizo na kuzitumia kupulizia mazalio ya mbu na...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano...
Mradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao...
Nawasalimu katika jina la Chama cha Mapinduzi. Kwa pamoja mjibu Chama kiendelee.
Nimeona leo niweke hili suala la katiba sawa ili kusaidia wajinga wengi wasioelewa na kuishia kuchotwa kijinga na...
Ndugu zangu nimeona Waziri Waitara akihangaika na Watu wa Latra ili kuondoa urasimu wa kupata leseni za usafiri siku hizi unaomba kupitia mfumo wa online lakini imekuwa ni mateso makubwa kwakuwa...
Mhe. Waziri wa Utumishi, ili kuondoa manung'uniko, upotashaji na sintofahamu iliyotokea baada ya mishahara ya mwezi huu wa June kutoka huku baadhi ya watumishi wakiwa wamepandishwa madaraja na...
Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa Serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM.
Lakini CHADEMA wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili...
Mradi wa Bagamoyo ni drama za ajabu sana huwezi kupata faida kwenye mkataba kama unaongea na mwekezaji mmoja tu. Kama China na Oman wanajua wako peke yao serikali itakuwa kwenye wakati mgumu sana...
Salaam Wakuu,
Chama cha Wamiliki Malori Tanzania(TATOA) Wameiomba Serikali kuingilia kati Sheria iliyotungwa Zambia ya kusimamia Uingiaji na utokaji wa Mizigo Nchini Zambia.
Sheria hiyo inataka...
Ndugu zangu,
Aidha kwa kujua au kutokujua ndugu Lissu kageuzwa bidhaa au chanzo cha kupata hela.
Kwenye miji na majiji kumeibuka mtindo wa watu wenye ulemavu au wanaoongopa ulemavu kusukumwa...
July 19, 2019
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma, ameelezea ziara yao ndefu ya kikazi mikoa ya kanda ya ziwa iliyoanza mapema Julai 4, 2019. Mahakama imebaini aina ya adhabu...
Wanabodi habari za mchana. Huu uzi nauandika ili umsaidie kaka yangu Melo!!
Mimi ni mdau wa JF kwa muda mrefu sana nimesoma nyuzi nyingi humu na zimenisaidia sana kama Mtanzania japo imenichukua...
Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu.
Taratibu fuatilia
Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.