Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Kufuatia kutimiza siku 100 kwenye madaraka akiwa Rais kamili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia ameviteka vyombo vingi vya habari duniani.
Mengi yamezungumzwa sana yakiwa na mlengo wa kusifia kila hatua anayo ifanya mama Samia.
Tofauti na Watanzania wenzetu wasiyo na shukrani wala aibu ya kumbeza mama Samia.
Hawa wanao mbeza nafikiri ni kati ya wale fagio la chuma linawapitia kulingana na picha ya mchoraji kutoka DW.