Serikali tuelezeni hatma ya kiwanda hiki wakati watu wakiendelea kufa kwa malaria

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Marehemu JPM alitembelea kiwanda hiki na kukukta mrundikano wa viuatilifu vya mbu wa malaria. Kwa uzalendo wake akaamua halmashauri zote zinunue dawa hizo na kuzitumia kupulizia mazalio ya mbu na hazina ingekilipa kiwanda hicho moja kamoja toka kwenye bajeti za halmashauri. Nadhani hela zililipwa na dawa zilichukuliwa ila mimi nilipo sijawahi kuona zinatumika.

Ni wakati sasa Wizara ya Afya, Viwanda na Biashara na TAMISEMI watoe maelezo. TUTAENDELEA KUFA KWA MALARIA HADI LINI? Kwa nini mapambano yetu na malaria tiyakabidhi kwa MSAADA WA WATU WA MAREKANI wakati uwezo wa ndani tunao

Biological Industries

The Biolarvicides Project

Tanzania Biotech Products Limited (TBPL) is a subsidiary company of National Development Corporation (NDC) that is engaged in the manufacturing of biological products through its plant located at Kibaha, Coast Region. However for the time being the plant is manufacturing only biolarvicides aiming at fighting malaria in the country and in other African countries.

In the future, the plant will manufacture all biological products including bio fertilizers and food supplement. The plant was constructed in collaboration with M/s LABIOFAM S.A. of Cuba, which provided the technology and project management under a Turnkey Agreement with NDC.


 
Naunga mkono hoja Mkuu, kiukweli hili Ni bonge la project ambayo ilikua na manufaa makubwa Sana kwa taifa letu na kizazi kijacho kwa ujumla, binafsi naomba Serikali yetu sikivu iliangalie hili kwa jicho la pekee, sijui kwanini Raisi wetu aliyetangulia mbele za haki hakuliwekea uzito unaostahili
 
Back
Top Bottom