Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Ndugu zangu,
Aidha kwa kujua au kutokujua ndugu Lissu kageuzwa bidhaa au chanzo cha kupata hela.
Kwenye miji na majiji kumeibuka mtindo wa watu wenye ulemavu au wanaoongopa ulemavu kusukumwa kwenye baisikeli za magurudumu manne na kuzunguka mitaani kuomba chochote kitu ili mradi maisha yasonge.
Ajizi nyumba ya njaa, namuona Lissu kajaa kwenye kiganja cha Mbowe, kawa mateka ila safari hii labda watafanikiwa kwa wasahaulifu kwani Sabodo alipigwa milioni 100, Conservative party ya UK walipigwa milioni 78 hadi sasa hatujui nini kitatokea kwani pamoja na utandawazi bado kuna watu wanatapeliwa "karata tatu" na "korokoro"
Muda utasema,ila "ukiona manyoya, ujue ameliwa"