Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata...
41 Reactions
111 Replies
11K Views
Mataga sasa hivi wamekuwa kama chapati, kila wakienda upande huu au ule wanapigwa. Walishangilia ndege ambazo zilinunuliwa kwa mkataba usiojulikana, makinikia yanaenda nje kwa mkataba wa...
24 Reactions
63 Replies
5K Views
MFuko wa Afya ya Taifa BIMA(NHIF) Umekuwa ni mfuko wenye wateja wengi ,ulianzishwa kwa lengo zuri la kuhudumia wanachama wao kupata huduma ya afya katika ngazi zote za Hospitali, Mfuko huu wa Bima...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya Watanzania wenzetu imani yao kwa viongozi wetu wa nchi inatawaliwa zaidi na mapenzi yao au chuki yao kuliko uhalisia. Mtu akishampenda kiongozi fulani kwasababu zake binafsi, basi...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
“Tanzania tuna wagonjwa wa wimbi la Tatu la Corona. Hili jambo bado lipo, tuchukue hadhari zote na tunawaomba viongozi wa dini mseme hili kwa sauti kubwa" Rais Samia Suluhu Hassan wakati...
24 Reactions
201 Replies
18K Views
Ndugu katibu mkuu CCM, Ndugu wanachama, Ni dhahiri chama kinasimamia Serikali, Wabunge 19 waliopo bungeni bila ridhaa ya Chadema ni mtaji kwa CCM kwa sasa. Madhara yake baadae ni makubwa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea...
38 Reactions
146 Replies
9K Views
Huenda ikawa baada ya miaka 100 ijayo ngozi nyeusi ikapatikana kwa nadra hapa Tanzania kama ilivyo kwa Madagascar na Mauritius. Kupata mtu mweusi wa asili itabidi labda uende ndani kabisa...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Nadhani Huo Mkataba utafanyiwa variation. Kuna mambo mengi yameshabadilika. Bandari ya Dar es Salaam upanuzi umeshaanza au kukamilika, bandari ya Tanga kuna jambo linaendelea pale. Kwamba...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Nakusalimu Mhe. Rais, Kwanza ni ukweli ulio wazi kuwa kanisa hasa la Katoliki limekuwa likitoa huduma nyingi sana kwa jamii hasa katika elimu na afya na wamekuwa wakitoa msaada mkubwa sana kwa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake. Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info. Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi? Marital...
4 Reactions
105 Replies
18K Views
Mabibi na mabwana kumekuwa na vita vikali vya mitandaoni. CCM, Chadema, Corona, Legacy, tuzo za BET nk. Kwa hakika imekuwa ni patashika nguo kuchanika. Hata hivyo pana haja ya kufanyika tathmini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimeuona muswada unaompa Waziri wa fedha nguvu ya kufuta kodi mbalimbali atakapoona inafaa. Ikumbukwe hili lilikuwepo miaka ya huko nyuma lakini lilirudishwa kwenye baraza la mawaziri...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum. Sasa hivi tena ameteuliwa...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Wasalaaaam! Ni ukweli usiopingika kuwa, pamoja kwamba Rais Samia alikua Makamu wa Rais awamu ya tano, lakin hawakuwa kitu kimoja na Raisi wa awamu hiyo inangawa Rais Samia amejaribu kutuaminisha...
20 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan, anatimiza siku 100 akiwa madarakani, ni wazi Watanzania bado wana kiu ya kupata Katiba Mpya. Na wengi hususan wanasiasa, wamekuwa wakiidai kwa nguvu zote. Hata...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Picha hii inaonyesha ukomavu, mshikamano na umoja na amani katika nchi inayoitwa Tanzania, nchi Mungu ametutengea waja wake. Hakuna mahali Rais Mwanamke, Muislamu, amezungukwa na maaskofu, kama...
26 Reactions
42 Replies
3K Views
Ndani ya siku 100 Mh Rais ameonesha dhamira njema. 1. Uhuru wa kutoa maoni- Kwa kadili yake mwenyewe alituambia yuko tayari kukosolewa na kweli watu wanakosoa na anasikkliza mfano siku ambayo...
6 Reactions
96 Replies
4K Views
Katika siku 100 za Rais Samia yapo mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa na wapinzani wa CCM yametekelezwa.tunapoelekea katika kukamilisha ilani ya CCM kamwe na sio busara kusikia kelele za kihuni...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni, lina mambo ya hovyo sana. Hili kundi linachangishana pesa huku likitoa maneno ya kashfa kwa mkuu wetu. Nina wasiwasi wana lengo la...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom