Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake .
Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi...
Bwana David Silinde popote ulipo.
Hongera kwa kuula. Umeula uwaziri. Mpe Salaam ndugu waitara. Mwambie wanawaukonga na wapenda mabadiliko wote wanakumbuka michango na kujitolea kwai hata akawa...
Na Emmanuel J. Shilatu
Siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan zimetimia kwa mafanikio tele. Leo tuendelee kutazama mafanikio zaidi ambayo sio ya mwisho...
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania...na wote semeni kazi iendelee.
Siku 100 za Mama Samia Suluhu Hassan zimekuwa za furaha na amani kwa asilimia kubwa ya watanzania kana...
Na Emmanuel J. Shilatu
Napenda kuungana na Mamilioni ya Watanzania kusherehekea maadhimisho ya siku 100 tangu Mhe. Samia Suluhu Hassan ale kiapo Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini?
#Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been...
Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu...
Yaani Mtangulizi wako Hayati Rais Dkt. Magufuli alianzisha tabia ya Kuvizia Wasanii wenye Majina makubwa nchini wakiwa 'on the Stage' wakitumbuiza na Kuwapigia Simu Kuwapongeza nawe Jana umeamua...
Leo hii aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya kisarawe Jokate amemkabidhi ofisi mkuu wa wilaya mpya Nikki wa pili. Pongezi za dhati ziende kwa Rais Samia ambaye ameonyesha kuwaamini vijana kwa kiwango...
Toka Mnyika ni Mbunge wakati huo JPM alikuw Wizara ya Ujenzi. Mara nyingi alipenda kuongea na Mnyika akiwa Mbunge na kuchukua hoja zake kuzifanyia kazi.
Magufuli aligundua kuwa Mnyika alikuwa na...
MFANYABIASHARA mtata aliyemilikishwa hisa kubwa za kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited ( IPTL ), Harbinder Singh Sethi, anatajwa kumiliki vitalu vya gesi na mafuta kusini...
Mchakato kuhusu kumtangaza mtakatifu Julius Nyerere ulizinduliwa na Jimbo Katoliki la Musoma mwaka 2006. Je, umefikia wapi?
Jibu la swali hili nisentensi moja tu kama tutakavyoona.“Mchakato” wa...
Hakika waswahili hawakukosea waliposema mmzaniaye ndiye kumbe siye, maisha yangu yote sikuwahi kudhani au kuwaza kuwa mwanamke anaweza kusimamia vitu vikaenda sawa sawa bila kasoro.
Ila kwa...
Uvinza. Wakazi wa kijiji cha Chakulu, kata ya Uvinza wilayanii Uvinza wamelalamika kukosa huduma za afya baada ya zahanati wanayoitegemea kufungwa kwa zaidi wiki moja, hali inayosababisha usumbufu...
Taarifa hii nimeisikia kwenye kipindi cha magazeti asubuhi ya leo.
Kila la heri wakazi wa Bagamoyo
======
Tanzania is finalising negotiations with China and Oman over the construction of...
Katiba mpya itaundwa tu.
Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni.
Hayo yameelezwa leo...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Naandika hili kuwakumbusha juu ya jambo moja kati ya mengi yaliyo kwenu;
¶Limetoka agizo la kupandisha vyeo watumishi wenu wote wanaostahili lakini mnajivutavuta hadi...
Habari za jioni wakuu!
Hii ni kwa GTs pekee.
Hivi Taifa letu kwa sasa ni la watu wa namna gani kati ya makundi haya hapa chini na mengine unayoyafahamu?
1-wanasiasa kwa kuwa wanamake headlines...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.