CCM ina nguvu lakini CHADEMA ina maarifa; watawala wanapaswa kuwa makini

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa Serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM.

Lakini CHADEMA wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM.

Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla hawajajikuta ni chama cha maigizo (Waigizaji)

Amani na iwe kwenu!
 
Bwashee vp bhana mpk tunapata wasiwasi
Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM.

Lakini Chadema wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM.

Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla hawajajikuta ni chama cha maigizo ( Waigizaji)

Amani na iwe kwenu!
 
Baptist ukikuwa wapi?

Ok hayo maarifa yao yamewasaidia kufanikisha kitu gani?
 
Kimsingi ccm sio chama cha kizazi hiki, ndio maana kinatumia nguvu zaidi kuliko ushawishi kubaki madarakani. Hapo ilipo ccm inategemea mabavu tena yasiyo na mvuto, na huko tuendako ccm itatoka kwa machafuko.
Wewe!

Huoni ushawishi alionao mama baada ya dhalimu wako kufariki?

Si unaona jinsi anavyotenda haki?

Si unaona ccm sasa ina ushawishi hadi miongoni mwa wana chadema,?

Huoni kila kona sasa ni makofi kwa mama?

Wewe ni mataga nini? Kwa nini unakashfu chama cha mama kinachotenda haki namna hii?
 
Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM.

Lakini Chadema wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM.

Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla hawajajikuta ni chama cha maigizo ( Waigizaji)

Amani na iwe kwenu!
Chadema ina maarifa lakini imeshindwa kuwashawishi wananchi waikubali
 
Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM.

Lakini Chadema wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM.

Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla hawajajikuta ni chama cha maigizo ( Waigizaji)

Amani na iwe kwenu!
Jombaa kabla ya kuchangia hii kitu yako! Kwanza ninaomba utudadavulie maana ya maarifa na maana ya nguvu kwa mfumo wa kitaasisi..
Pia jombaa tunaomba ututajie sifa za kutumia nguvu kitaasisi na sifa za kutumia maarifa kitaasisi.
ASANTE.
 
Back
Top Bottom