Mh Jokate ndo kwanza una wiki ya kwanza kwenye wilaya hii baada ya uteuzi. Nakushauri ungeanza kujikita na kufanya assesment ya matatizo mbalimbali kwenye wilaya yako na kuyatafutia tiba. Instead...
Wazee.
Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida.
Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi kwa Wananchi wa kawaida ni upi?
Wana Mtwara...
Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona. Hii ni kulingana na ripoti ya kila mwaka ya faharasi ya amani duniani iliyochapishwa Alhamisi na taasisi...
Ni kawaida kwa Rais, mara tu anapoanza awamu yake ya uongozi, kuteua Waziri Mkuu wake,mtu anayemwamini,atakayeenda na falsafa yake, bila kumuwekea makundi.
Marais huwa wanaachana na Mawaziri...
Ninakishangaa sana chama ambacho ndicho kinatakiwa kua kinara katika kutii katiba ya nchi lakini kinafumbia na kukumbatia mambo ya ajabu kabisa.
Ni uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi kuona...
Poleni na Majukumu ya kikazi. Katika kuijenga nchi yetu nzuri Tanzania.
Moja kwa moja kwenye.
Haya ni maoni yangu binafsi. Kama mwananchi wa Tanzania niliye na Uhuru wa kutoa maoni.
Kama...
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni CHADEMA. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda...
Kumekuwa na movement na msukumo kutoka makundi mbali mbali ya kutetea haki za nimadamu, NGO na vyama vya siasa hasahasa vya upinzani kutaka katiba mpya. Ni jambo zuri sana japo kwa upande wa CCM...
Na Emmanuel J. Shilatu
Tunaendelea kumulika mambo mengi yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuona namna alivyoupiga mwingi ndani ya siku 100 za utawala...
Bajeti yetu ya mwaka huu ni jumla ya dola za Kimarekani 14.1 Billioni Bajeti ya Kenya ni jumla ya Dollar 30 Billioni. Bajeti ya Kenya kwa miaka mingi imekuwa zaidi ya bajeti ya Tanzania zaidi ya...
Habari Tanzania!
Leo najisikia raha kwa kumkumbuka aliyewahi kuwa mwenyekiti wa DP ndugu, Mtikila. Alipenda sana na kuweka mkazo chanya juu ya kuhitaji uwepo wa watahiniwa binafsi katika ngazi za...
USHAURI NA MAONI YANGU KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYO.
Ilikuwa Octoba 21 katika taarifa ya habari ya Channel Ten nilimsikia Mgombea Urais wa Ukawa,Mh Edward Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali...
YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA
Kongamano lilianzia kwa...
Kwenye jamii yoyote ile iliyostaarabika ni lazima kuwe na utaratibu wa kuwaongoza watu. Huu utaratibu ni muhimu ukakubalika na makundi yote katika jamii hii na hapa ndio katiba hutungwa. Wengi...
Mods Moderator naomba msiunganishe huu uzi🙏
Tumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa nchi yetu. Ametutoa pagumu sana, ametuthubitishia yaliyoambiwa...
Haiingii akilini kutangazwa MTU kapita bila kupingwa.
Kila uchaguzi iwepo kanuni ya uwepo wa mgombea zaidi ya mmoja hata kama ni chama kimoja endapo vyama vingine havisimamishi kwasababu mbalimbali.
BADO MAMA SAMIA SULUHU, HAJAINGIA KWENYE 18 ZANGU.
Na, Robert Heriel
Tangu Rais Samia alipoingia kwenye utawala, watu wengi wamekuwa wakihitaji maoni yangu juu ya utendaji kazi wake. Wengi...
Tunaomba radhi, tulipotoshwa na watu wenye chuki zao kwa sababu za kisiasa.
Kenya wamemaliza Lamu, sisi bado, tinaomba radhi sana maana tulifanya haya mambo kwa kulipwa matokeo yake tukakwamisha...
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu...
Msingi wa Rasimu ya Katiba ni muundo wa Muungano. Wabunge wakikataa muundo wa muungano unaopendekezwa Rasimu hii inakufa kwa sababu karibu ibara zingine zote zimewekwa kwa kuzingatia muundo huu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.