jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Habari za jioni wakuu!
Hii ni kwa GTs pekee.
Hivi Taifa letu kwa sasa ni la watu wa namna gani kati ya makundi haya hapa chini na mengine unayoyafahamu?
1-wanasiasa kwa kuwa wanamake headlines kila siku?
2-Wafanyakazi ambao ni walipa kodi muhimu?
3-wasomi wasiotumia weledi wao?
4-Wafanyabiashara kwa kuwa kila mmoja anataka kuuza tu?
5-Wakulima ambao wanatajwa kuwa ni asilimia 70+
6-Wacha Mungu kwa kuwa makanisa yapo kila mtaa?
7-Wachawi kwani haipiti siku bila tukio lenye kuhusishwa na ushirikina?
8-Wapenda starehe haswa ngono kwani kila mazungumzo lazima yatafsiriwe kingonongono?
9-Masikini wa kutupwa waliopigika na maisha?
10-Waungwana wenye ukarimu kwa wageni?
11-wala rushwa na wanaoona hiyo ndio style ya maisha?