Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la. Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu...
20 Reactions
216 Replies
24K Views
Msingi wa Rasimu ya Katiba ni muundo wa Muungano. Wabunge wakikataa muundo wa muungano unaopendekezwa Rasimu hii inakufa kwa sababu karibu ibara zingine zote zimewekwa kwa kuzingatia muundo huu wa...
7 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanajamvi kumekuwa na Sintofahamu kubwa sana kwenye upandishaji Madaraja na Ubadilishwaji Mishahara toka Rais atoe Tamko maeneo mengi nchini ingawa kwa Mkoa wa Dar es salaam Malalamiko na...
3 Reactions
9 Replies
45K Views
Swali kwa Job: Kwani Wanahabari ni Wabunge mpaka uwapeleke kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge? Ushauri wangu ni: Job soma kanuni ya 2 ya Kanuni za Bunge. Kanuni zenu zinatumika kuendesha Bunge na...
25 Reactions
97 Replies
9K Views
Hata kama CHADEMA wanaitaka Katiba mpya ili waweze kushiriki uchaguzi wenye ushindani halali bado katiba mpya ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu. Katiba ya sasa ina mapungufu mengi sana...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa...
11 Reactions
170 Replies
13K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, natumaini unapata wasaa wa kupitia pitia mitandaoni kusoma maoni ya sisi watu wako. Ninakushi endelea na utaratibu huu kwa sababu una manufaa mengi sana kwa Taifa letu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KASI NA ARI YA UTENDAJI WA RAIS DR JOHN MAGUFULI NDIO MTOA ROHO WA CHADEMA, CUF NA ACT. Leo 13:15pm,31/03/2019. Hivi sasa wana Chadema na ACT wanavizia Boeing ikiwa imepark wanaipiga picha na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19. Utafiti wa dawa hizo za asili ambazo...
10 Reactions
165 Replies
13K Views
napenda nieleweke wazi kabisa, ushauri wako unayesoma hii utanisaidia mawazo ya mwisho mwisho kuhusu azma yangu. nataka kwenda mahakamani kufungua kesi dhidi ya mheshimiwa mudhihir wa mudhihir...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini wakuu… Wakati bado tukiwa kwenye maombolezo, nimeona ni vema nifanye utafiti kidogo wa kumulika uchumi wa Hayati Magufuli, ili tuweke record zetu sawa, maana huku mtaani na kwenye vyombo...
86 Reactions
292 Replies
22K Views
Watawala msidhani pengo lenu halitozibika na kibaya sana nataka kuwakumbusha kuwa litazibika kabla hata ujapoa, naangalia idadi ya viongozi waliotangulia mbele ya haki ilichukua muda gani...
3 Reactions
4 Replies
974 Views
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama...
51 Reactions
145 Replies
15K Views
Kwa hakika yatosha kwa kusema kuwa "Mzee Mwinyi uungwana hakuanza leo" Hii ni barua yake ya kujiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi 1977. Mzee huyu tofauti na tulivyozoea mawaziri ama...
25 Reactions
86 Replies
19K Views
Siku ya leo, Jaji wa mahakama kuu, Irvin Mgeta, ameandika historia, baada ya kubatilisha hukumu iliyokuwa imetolewa na Hakimu, Thomas Simba, wa mahakama ya Kisutu, hapo mwezi March, 2020, ambapo...
10 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350. Zijenge ofisi makao makuu? Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki? Zisaidie mchakato wa katiba mpya? Zinunue kiwanja cha ofisi makao...
12 Reactions
125 Replies
8K Views
Nawaonea huruma wanaharakati wa Tanzania ambao wamejitwika zigo la misumari vichwani mwao kuhakikisha kazi na sifa njema za aliyekuwa Raisi wetu JPM wanazipinga na kuwakwamisha wote waliokuwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli. DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira...
55 Reactions
185 Replies
17K Views
Back
Top Bottom