"Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe...
Imeandikwa na Ansvert Ngurumo kulitia Sauti Kubwa
Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kuwa yeye na hayati John Magufuli ni kitu kimoja. Wapo walioyabeba maneno hayo kama yalivyo. Wapo...
Hii inchi ina mambo ya kipumbavu sana na ndio maana haisongi mbele maana hata taratibu tulizojiwekea wenyewe zinatekelezwa kibaguzi.
Pata picha ingekuwa wapinzani ndio wanaopinga kifanywacho na...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi nchini limewaua watu wawili wanaodaiwa kufanya mauaji katika Wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji, mkoani Pwani.
Akielezea tukio hilo leo (Alhamisi Julai 6) ...
Rais wa Zambia amewasili kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili ambayo pamoja na mambo mengi, nchi mbili zitatiliana mikataba ya kiuchumi na kijamii.
Tanzania na Zambia zina uhusiano na historia...
Mwenye kuweza kukitegua akitegue...
Kitendawili natega, natega kitegueni
Tegueni bila woga, nasubiri kwa hisani
Kuna kijungu chapwaga, bila ya moto jikoni
Kama mmeshindwa mpeni mji Mama...
Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu.
Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake.
Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda...
Mgeni maalumu Mstahiki Meya wa Moshi Juma Raibu akiongea katika hafla ya Jeshi la polisi ya kuwapandisha vyeo askari wake katika ngazi za staff sajenti,sajenti na koplo amewataka wanaopanga...
Haujambo Mwana Jamvi, Heri na hongera sana kwa sikukuu ya Eid-Al-fitr. Kwa niaba yangu binafsi nakutakia sherehe njema, ikawe heri na amani kwa upande wako. Eid Mubarak!!!!
Mwaka 2006 viliibuka...
Haya nimeyaona kwa Magufuli na alikuja kuanguka vibaya sana katika utawala wake wa awamu ya tano.
Nayaona tena kwa Rais Samia sizani kama anguko litamuacha salama.
Chezea watu wote lakini achana...
Nianze kwa kutoa pole kwa wafanya kazi wa gazeti la uhuru kwa gazeti lao kufungiwa.
Nakumbuka kauli ya JK na hapa namnukuu "Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani" kauli hiyo ni ya kijasusi na...
Hiki chama kwa sasa ni kama kimeshindikana, hawawezi tena kukitoa kwenye reli , pamoja na unyama wote wanaotendewa lakini hawaachi mikakati yao ipotee.
Hebu jionee mwenyewe
DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM
CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel...
Nimemsikiliza Askofu Gwaima alichoongea kwenye mazishi ya Mzee ndesamburo,Hakika kama maasikofu wa katoliki wangekuwa na ujasiri kama gwajima.Nchi hii ingepona siku nyingi.
Gwajima hajang'ata...
Nimecheka sana baada ya Diamond kutoa wimbo wenye maudhui ya kisiasa huku akimtaja Gwajima na ile reaction ya Gwajima kisha diamond kuomba radhi kwa unyenyekevu na woga wa dhadhiri
Sio diamond...
Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao.
Ni suala la muda tu, CCM your...
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu, ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao...
Hata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia...
Habari za midaa hii wa JamiiForums.
Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya.
Imeelezwa kuwa...
Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati.
Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.
Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.