Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Wakurugenzi wawili.
Wa kwanza ni Nyangi Msemakweli wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Huyu...
Watu wanadaiwa kuwa wanachama wa chama Cha CHADEMA usiku wa kuamkia leo wamejaza maneno ya chuki na kutishia amani kwenye ofisi za CCM.
Maneno Kama 'next is fire get ready ' yamesomeka katika...
Imeibuka tabia ya wanasiasa kuingia ibadani wakiwa wamevalia sare za vyama vyao kiukweli tabia hii inawakwaza wengi.
Ibadani ni sehemu inayopaswa kuheshimiwa na watu wote.
Nimpongeze Mwenezi wa...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, mwanaharakati huru aliyekuwa maarufu sana hasa katika awamu ya tano, Bwana Cyprian Musiba, ameomba Watanzania wamuombee kwani anapitia wakati mgumu...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ataondoka nchini leo kwenda nchini Malawi kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maaendeleo Kusini wa Afrika (SADC) utakofanyika Agosti 17...
Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama.
Lakini nilivutiwa zaidi na busara ya CHADEMA kwamba tuwatoe...
Mheshimiwa sana rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, naomba nikushauri kwa heshima na taadhima.
Acha kuweka viraka kwenye serikali ya awamu ya tano na kuifanya iwe ya awamu ya sita. Badala yake...
Huyu kada wa ccm aliyegombea ubunge 2015 jimbo la Busokelo na alishika nafasi ya pili,baadaye rais Magufuli akamteua kuwa DED Kakoko,
Kweli huyu angeweza kumtangaza mgombea nje ya CCM?
"
jimbo la...
lusubilo Mwakibibi, Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, huyu ni adui namba moja wa demokrasia nchini. Ameshiriki katika matukio mengi sana ya kuchezea uchaguzi na anaweza kuitwa mchochezi, mhaini...
Unajua nyakati zile hata mzee Membe alifukuzwa kibabe zaidi na siyo kwa mujibu wa katiba.
Kwa sasa siyo rahisi kumvua mtu uanachama wake kwa sababu demokrasia imetamalaki ndani ya CCM.
Mtu...
Mkuu wa wilaya ni mteule wa Rais
Mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani.
Ukifuatilia kilio cha aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya kuanzia Ijumaa hadi leo...
Najiuliza Ni doctrine gani waliyokuwa nayo wale waliokwenda kumfyatulia risasi Lissu. Najiuliza walidhani Lissu ndo tatizo la Tanzania ? Walidhani ugumu wao wa maisha unaletwa na Lissu...
Askofu Gwajima awashangaa viongozi wa kiroho wanaokaa kimya na kuacha masuala ya uhalifu yakiendelea katika nchi bila ya kusema lolote. Ameyasema hayo leo alipoongoza Ibada ya kumuombea Tundu...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hicho hakijawahi kumsimamisha Kiongozi wa nchi kwa majaribio.
Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo...
Mwaka 1992 Nchi ya Tanzania iliukubali rasmi MFUMO WA VYAMA VINGI VYA SIASA , ikatungwa sheria mpya ya vyama vya siasa na kuruhusu Kusajiliwa kwa vyama mbalimbali vilivyokidhi matakwa ya sheria...
Hii ya kupigania Katiba dhidi ya CCM ipiganwe na watu wote wasiachiwe CHADEMA.
Hii ni vita kubwa sana taifa limeingia bila shaka ni vita kubwa ambayo taifa limewahi kupigana ni zaidi ya vita vya...
Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada...
Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini ni wa kujadiliwa kwa kina kusudi watu wengi wauelewe na kuukubali.
Tayari kuna maoni kadhaa yametolewa tangu...
HAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE.
Na, Robert Heriel.
Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOA, baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.