Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,011
Habari za midaa hii wa JamiiForums.

Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya.

Imeelezwa kuwa amekiri kilichokuwa kikifanyika ama alichokuwa anatekeleza ktk kesi yake ya unyanganyi kwa kutumia siraha aliagizwa na Dr. Mpango, Hayati Dr. Magufuli na Gavana wa Fedha bwana Luoga.

Naamini Ndugu Sabaya amefika hatua hii baada ya kuona hakuna namna ya kuchomoka katika kesi hii au akaona akitupia majina haya Makubwa makubwa itakua ni njia ya nitoke vipi.

Licha ya kile kinachoendelea huko Mahakamani iwe ni kweli si kweli, kutajwa kwa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kunatia doa juu ya uhalali katika utendaji wake kama kweli anaweza kushiriki katika vitendo vya kihalifu na baafaya akaonekana anafaa kushika nafasi nyeti katika Nchi yetu.

Sisi tunaomuunga mkono na kumwamini kama Kiongozi Safi mwenye weledi na maadili na msomi wa kiwango cha juu tumesikitishwa na kadhia hii ya kutajwa kwenye mambo maovu.

Watanzania tunaompenda tunapenda kutoa wito ajitokeze ama Mahakamani au kwenye jukwa la wazi ajisafishe na tuhuma hizi nzito.

IMG-20210813-WA0022.jpg
 
Watanzania wagumu kweli kuelewa. Kuna upotoshaji mkubwa sana unaendelea. Sabaya amesema alienda Arusha kwa maagizo ya mamlaka iliyomteua.

Prof. Lunga (Gavana) na Dr. Mpango (aliyekuwa Waziri wa fedha) wametajwa kama watu wanaojua moja ya kazi maalum aliyowahi kuifanya huko Dar es Salaam baada ya kukamata machine ya kutengezea fedha bandia.

Na amesema hivyo ili kuonesha kuwa kuna kazi nyingi tu aliwahi kuzifanya nje ya eneo lake la kawaida la kazi. Hiyo ya kwenda Arusha haikuwa ya kwanza.

Pamoja na hayo, amekanusha kuiba fedha wala kutumia silaha. Kila alichokuwa anakifanya alipata ushirikiano wa vyombo vya dola. Hata aliyekuwa mkuu wa wilaya wa eneo husika alikuwa na taarifa juu ya uwepo wao.

Kwa maneno mengine alikuwa kwenye kazi maalum aliyotumwa na mamlaka ya uteuzi wake: siyo Dr. Mpango, Prof. Luoga au hao wengine aliowataja.
 
Hiyo ya kwenda Arusha ndio imemfikisha hapo. Acha kuzitenganisha tuhuma za Sabaya. Haya kama alifanyia Dar
 
Watanzania wagumu kweli kuelewa. Kuna upotoshaji mkubwa sana unaendelea. Sabaya amesema alienda Arusha kwa maagizo ya mamlaka iliyomteua.

Prof. Lunga (Gavana) na Dr. Mpango (aliyekuwa Waziri wa fedha) wametajwa kama watu wanaojua moja ya kazi maalum aliyowahi kuifanya huko Dar es Salaam baada ya kukamata machine ya kutengezea fedha bandia.

Na amesema hivyo ili kuonesha kuwa kuna kazi nyingi tu aliwahi kuzifanya nje ya eneo lake la kawaida la kazi. Hiyo ya kwenda Arusha haikuwa ya kwanza.

Pamoja na hayo, amekanusha kuiba fedha wala kutumia silaha. Kila alichokuwa anakifanya alipata ushirikiano wa vyombo vya dola. Hata aliyekuwa mkuu wa wilaya wa eneo husika alikuwa na taarifa juu ya uwepo wao.

Kwa maneno mengine alikuwa kwenye kazi maalum aliyotumwa na mamlaka ya uteuzi wake: siyo Dr. Mpango, Prof. Luoga au hao wengine aliowataja.
Kushirikiana na vyombo vya dola kupora mali za umma ndio matumizi ya madaraka yenyewe.
 
Watanzania wagumu kweli kuelewa. Kuna upotoshaji mkubwa sana unaendelea. Sabaya amesema alienda Arusha kwa maagizo ya mamlaka iliyomteua.

Prof. Lunga (Gavana) na Dr. Mpango (aliyekuwa Waziri wa fedha) wametajwa kama watu wanaojua moja ya kazi maalum aliyowahi kuifanya huko Dar es Salaam baada ya kukamata machine ya kutengezea fedha bandia.

Na amesema hivyo ili kuonesha kuwa kuna kazi nyingi tu aliwahi kuzifanya nje ya eneo lake la kawaida la kazi. Hiyo ya kwenda Arusha haikuwa ya kwanza.

Pamoja na hayo, amekanusha kuiba fedha wala kutumia silaha. Kila alichokuwa anakifanya alipata ushirikiano wa vyombo vya dola. Hata aliyekuwa mkuu wa wilaya wa eneo husika alikuwa na taarifa juu ya uwepo wao.

Kwa maneno mengine alikuwa kwenye kazi maalum aliyotumwa na mamlaka ya uteuzi wake: siyo Dr. Mpango, Prof. Luoga au hao wengine aliowataja.
Tz raia wana ufahamu hafifu sana na uwezo mdogo wa kufikiri
 
Back
Top Bottom