Kigaila: Inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya Mahakama na bado akawa salama

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
"Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe 13/08/2021 hakuletwa kwa sababu inayoelezwa na DPP gari la Magereza ilikuwa bovu." - Kigaila
 
Ingekuwa Nchi ambayoo Mhimili wa Mahakama unajielewa, wangeshaagiza wale wote wanaokaidi na kubeza kwa makusudi agizo/amri halali ya Mahakama wanakamatwa na kutupwa ndani kwa kile wanasheria wanachokiita "contempt of court".

Ila kwetu sasa, DPP yupo juu na anaweza akawaagiza Magereza nini wafanye/wasifanye
 
"Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe 13/08/2021 hakuletwa kwa sababu inayoelezwa na DPP gari la Magereza ilikuwa bovu." - Kigaila
Ina MAANA Magari yote ya Magereza Mkoa wa Dsm Yaliharibika kwa Pamoja hiyo Tarehe 13/8?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ina MAANA Magari yote ya Magereza Mkoa wa Dsm Yaliharibika kwa Pamoja hiyo Tarehe 13/8?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app

..polisi walikuja mahakamani na magari kibao ya kusomba wafuasi wa chadema waliokuwa wakiwakamata.

..haiwezekani serikali ikose gari ya kusafirisha watuhumiwa wenye mashtaka makubwa kama ya ugaidi na kupanga kuua viongozi / uhaini.
 
Sa100, dikteta wa kwanza mwanamke Afrika. Ameamuru Mbowe asiletwe mahakamani ili asote magereza. Gari ni kisingio.
 
Sababu ya ubovu wa gari la magereza nadhani ni ya kitoto sana! Na nasikitisha zaidi kuona inatolewa na watu wazima, na wenye akili zao timamu!
Serikali haikuwa na namna zaidi ya kuiahirisha hiyo kesi kwa kuisingizio cha gari bovu. Ujumbe wa nchi za nchi za nje uliokuja kuangalia mwenendo wa case ulitisha. Na imedhihirisha jinsi mahakama zetu zinavyoongozwa na dola.
 
Ingekuwa Nchi ambayoo Mhimili wa Mahakama unajielewa, wangeshaagiza wale wote wanaokaidi na kubeza kwa makusudi agizo/amroi halali ya Mahakama wanakamatwa na kutupwa ndani kwa kile wanasheria wanachokiita "contempt of court". ila kwetu sasa, DPP yupo juu na anaweza akawaagiza Magereza nini wafanye/wasifanye
Mkuu mahakama zipo South Africa, kule ukiidharau tu mvua zitakuhusu, hawataki mambo ya siasa kwenye sheria. SIASA na SHERIA ni sekta mbili TOFAUTI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA
 
"Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe 13/08/2021 hakuletwa kwa sababu inayoelezwa na DPP gari la Magereza ilikuwa bovu." - Kigaila
Wewe unaijua sheria lakini? Unataka mahakama ingeondoka kwenda kuhakiki kama kweli gari lililodaiwa kuwa bovu kwamba ndivyo lilvyo? Kwanini wakili wake hakutoa ombi mahakamani kwenda kuhakikisha kama taarifa za ubovu wa gari ni za kweli?

Mahakamani kila upande uwe wa mashitaka na utetezi wanaaminiana sio nyie raia mnaoshukiana ovyo
 
Mkuu kama ikulu iliweza kumtuma Sabaya kufanya uhalifu, inashindwa nini kumtuma mtu mwingine kufanya kituko kingine!? Kwa makada wa CCM kila aina ya upuuzi unawezekana.
Na baya zaidi huo upuuzi unapata kushangiliwa
 
"Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe 13/08/2021 hakuletwa kwa sababu inayoelezwa na DPP gari la Magereza ilikuwa bovu." - Kigaila
You do not have a point.
 
Li nchi la hovyo hili!
Nchi hii pekee ndiyo tuliyopewa bila malipo na Mungu,tuipiganie itoke kuwa la hovyo Mkuu.
Tudai Katiba itakayoweka upya misingi ya Tanzania tuitakyo sisi Wananchi.
Tumechoka kuishi Tanzania ya kina magufuli,CCM,V-wonder au ya wanyonge.
Uhuru wetu hauwezi kupimwa kwa kipande cha mkate.
 
Back
Top Bottom