Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.
Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu...
Habari wakuu..
Huwa nasikitika kuona vyombo vyetu vya habari kuacha acha habari hewani bila mwendelezo wake! Uandishi wa matukio ya kuwagusa "wakubwa" kisha hujui nini hatma ya tukio husika...
Tanzania ni nchi huru iliyopata uhuru wake mwaka 1961
Katiba ya kwanza iliandaliwa uingereza na kuleta tanganyika na kuanza kutumika baada ya kuonekana ina mapungufu.
Mwaka 1962 waliteuliwa...
Sengerema .
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu ameagiza kukamatwa na kuwasimamisha kazi watendaji wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kijiji cha Nyamlilio wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza, kwa madai ya...
A PERFORMANCE AUDIT REPORT ON PRODUCED GRADUATES IN OIL AND NATURAL GAS INDUSTRY IN TANZANIA
EXECUTIVE SUMMARY
All personnel either directly or indirectly employed by International Oil and...
Prof. Kabudi ni jembe sana ila kwasasa hatumiki ipasavyo.
Ukiangalia na kusikiliza speech zake youtube zimebaba viewers kibao watu wanajisomea speech zake huko youtube.
Ngoja tujikumbushe speech...
Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa...
1. Kesi za kubumba kama vile ugaidi, uhaini, kukamatwa na madawa ya kulevya, uhujumu uchumi n.k.
2. Kufunga watu bila kesi zenye mashiko (detention without trial - kumbuka mashehe wa Zanzibar);
3...
Pray, do tell who’s lying to whom about Mbowe’s ‘terrorism’ case
SATURDAY AUGUST 14 2021
Chadema Chairman Freeman Mbowe at Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam on August 6. PHOTO...
Kuna nguvu kubwa inatumika na wafuasi wa Mbowe kuwaaminisha watanzania na dunia kwa ujumla kwamba mashitaka ya Mbowe ni ya kisiasa ,hasa katiba mpya.
Iwe katiba mpya au ugaidi, na kwakua polisi...
UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021
WAKA Wananchi&Katiba
Dar es salaam., Tanzania
9 JUL 2021 —
Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi...
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Albert Msando na mwenzake wa Ulanga waliopata ajali leo wamehamishiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.
Msemaji wa Hospitali ya Rufaa Morogoro amesema...
KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO MH: ZITTO KABWE LEO AMETOA TAARIFA HII INAYOLAANI VIKALI KUHUSU MANYANYASO YA WAPINZANI NCHINI ZAMBIA YANAYOFANYWA NA SERIKALI YA ZAMBIA
Chama cha ACT...
Na Elius Ndabila
+255768239284
Wiki iliyopita niliandika kidogo juu Elimu ya Uhusiano wa Kimataifa/DEPLOMATIC RELATIONS .Nilikuwa nimejikita zaidi kwenye kuangazia mambo ya diplomasia ya...
Kwa lugha nyepesi tu au kwa maana nyingine hapa nasema kuwa tujitahidi mno kabla hatujateuliwa nafasi yoyote au hata tukiteuliwa tu tuache Kuwatendea mabaya Watu kwani Mungu aliyekuumba Wewe ndiyo...
Marekani na Uingereza na nchi zingine washiriki wametuma vikosi vya jeshi kurudi tena nchini Afghanistan ili kufanya operesheni ya kuwaokoa raia wa nchi hizo pamoja na raia wa Afghanistan wenye...
Bunge limekanusha madai ya Wabunge wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kuingia Bungeni, likisema kuchanja ni hiari yao na wanahimizwa kufanya hivyo
Imeelezwa, utaratibu umeandaliwa kuwawezesha wapate...
Ni UNESCO haohao walioanza kujiridhisha kipindi cha utawala wa hayati baba wa taifa mwalimu JKN kuwa ujenzi wa bwawa la kufua umeme kamwe HALITOATHIRI mazingira ya viumbe na uoto wa asili katika...
Nimeiangalia bajeti yake kwa umakini na inaonyesha kama imewalenga hasa wafanyabiashara, sijui lengo lake nini, kuwakomoa? Hivi kuna nchi inaweza kusonga bila wafanyabiashara?
Kwa mfano kutoza...
Akizungumza leo bungeni amesisitiza kwamba itakuwa uonevu mkubwa kuwaondoa wengine na Kuwaacha viongozi wa Wizara ya fedha.
Mh Mbilinyi amesisitiza umuhimu wa Waziri wa fedha kutokana na wabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.