Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Kawe mchungaji Gwajima anazidi kujipambanua kuwa yeye kwenye mambo ya siasa alilazimishwa tu. Amewapa Mawaziri ukweli mtupu hasa wale wa afya kwa kutosimamia jambo wanaloliamini...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Baada ya Ikulu zote nchini Kisiwandui, Magogoni na Chamwino kukaliwa na Watanzania visiwani ndiyo nikaona umuhimu wa kuwa na serikali tatu au moja tu. Serikali tatu itasaidia kutunza siri na...
6 Reactions
61 Replies
5K Views
Askofu Gwajima alitoa hoja nzito na anaendelea kutoa hoja nzito. Akina Kigwangala na wenzake wanakuja na hoja nyepesi. Wengine wanakuja na hoja za kitoto eti Gwajima afukuzwe oh! Auliwe. Ni...
22 Reactions
183 Replies
13K Views
Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe! Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Majukumu ya jeshi letu yanajulikana maana yametajwa kikatiba Nimesoma maelezo ya wakili kibatara akisema mbowe aliamua kulindwa na wanajeshi baada ya kushambuliwa mkoani dodoma na kuvunjwa...
3 Reactions
84 Replies
50K Views
Mtumishi wa Mungu na Askofu mkuu wa kanisa la Full gospel Bible fellowship, Askofu Zacharia Kakobe, amesema anapo mwambia Mtu Atubu dhambi zake halafu mtu huyo akakasirika, mtu huyo ni mtoto wa...
18 Reactions
65 Replies
9K Views
Mambo yanaenda kasi sana. Mkurugenzi wa TRC mh Kadogosa amesaini mkataba wa kununua vichwa na mabehewa ya treni ya umeme na kampuni ya Hyundai ya Korea. Kadogosa amesema mara ujenzi wa SGR...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Ninaamini nchi yetu itafanya vizuri sana kwenye paraolympics. Tuna wabunge, wanasiasa wakiongozwa na honorable Ndungai, Polepole, Gwajima, Tarimba, Mwigulu, Zungu etc hakuna hata haja ya kuwapima...
0 Reactions
3 Replies
898 Views
Hizi tuhuma ambazo zinatolewa na Sabaya kuwa mamlaka ya uteuzi ilihusika kumpa kazi maalumu kisha tuhuma za uhalifu zikatokea ni aibu kwa taifa letu. Ikulu ambayo ndio mahala pa kuonyesha mamka...
17 Reactions
79 Replies
6K Views
Siku hizi Kila ukifungulia Chanel Ten habari utaona eti viongozi wakuu wa wilaya wakihamasisha vijana kukimbia mchakamchaka jogging clubs kuimarisha afya. Swali la kujiuliza mikusanyiko hii Tena...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Siyo rahisi mahali popote duniani kwa mtu awaye yote kuweza kuzuia athari hasi (consequences) za machozi ya watu zaidi ya milioni 50. Never! Watanzania walilia sana mwaka 2020 kuhusu serekali...
10 Reactions
44 Replies
4K Views
Nilitegemea wataalam wetu wa afya pamoja na washauri wa Rais waliomshauri kuagiza chanjo ya corona watakuwa mstari wa mbele kujibu hoja za askofu badala yake wamekuwa watu wa kumshambulia yeye...
51 Reactions
129 Replies
12K Views
Bado nashindwa kuelewa ni either hajauzoea urais au ni kwamba hayupo tu makini. Moja ya vitu ambavyo ni maajabu sani ni pale unapoona taarifa ya uteuzi kutoka Ikulu ikiwa na makosa kila Mara...
28 Reactions
98 Replies
10K Views
Maisha ni harakati, na unapopewa kazi ya ujasusi ama kijeshi unapaswa kuhakikishiwa usalama wako na usalama wa taarifa zako. Serikali ya Samia ilipaswa kumlinda Sabaya na kuhakikisha hafiki mbele...
17 Reactions
71 Replies
6K Views
Maditkteta hupanda madarakani kupitia vurugu au mapinduzi au wizi wa kura. Hata hivyo wapo madikteta walioingia kwa njia halali na baadaye kugeuka na kuwa madikteta. Kwa mfano Adolf Hitler...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza kabisa mimi sio mwanachama wala shabiki wa mbogamboga, Mimi ni mwanachama na mfuasi wa chadema. Leo nimekutana na wafuasi wa CCM nao wanalalamika, yote haya waliyataka wao kwa kukubali...
24 Reactions
104 Replies
8K Views
Jf Watanzania hupenda kutoa airtime kwa jambo zito na muhimu kuliko jambo la kawaida Hapa nchini kuna kesi kubwa mbili ambazo zinasikilizwa na mahakama huru Tuliaminishwa kwamba Mbowe anawatu wa...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm. Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu...
2 Reactions
108 Replies
10K Views
Habari wakuu.. Huwa nasikitika kuona vyombo vyetu vya habari kuacha acha habari hewani bila mwendelezo wake! Uandishi wa matukio ya kuwagusa "wakubwa" kisha hujui nini hatma ya tukio husika...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Back
Top Bottom