SERIKALI YAJIELEKEZA KUONDOA KABISA TATIZO LA USIKIVU WA RADIO IFIKAPO 2025.
Mpaka sasa asilimia 66 ya maeneo ya kijeografia yanapata mawasiliano
Yafungua milango kwa wadau kutumia miundombinu...
RIDHIWAN KIKWETE AENDELEA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO CHALINZE.
Chalinze, Pwani.
Mbunge wa Chalinze ndugu Ridhiwanii Kikwete ameendelea na ziara yake ya Kijiji Kwa Kijiji katika jimbo la...
Hivi polisi hawa ambao ama kwa makusudi au hawaelewi kitu, kudai katiba mpya kuna kosa gani kisheria?
Hivi unapomkamata mtu ambaye anadai kitu ambacho kimeruhusiwa kisheria utakua unaelewa nini...
KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA NDUGU KENANI LABANI KIHONGOSI ATENGA MUDA WA KUSIKILIZA NA KUPOKEA MAONI NA USHAURI.
KESHO JUMATATU 16.08.2021 SAA 3 ASUBUHI KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA NDUGU KENANI...
Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe.
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika...
Nini faida ya SADC kwa Tanzania tangu kuanzishwa kwake miaka ya 90, kuna mabadiliko gani kwa Tanzania na kwa nchi wanachama ndani ya jumuia hii. Tuliibeba sana SADCC kwanini tuendelee kubebeshwa...
TUNAHITAJI MAGUFULI MWINGINE AJE KUSHUGHULIKA NA KILIMO, TANZANIA.
Israel 🇮🇱 pamoja na udogo wake wa km 22,145 km wanaisaidia dunia nzima kwenye kilimo. Wanailisha dunia. Wanashangaa nchi ya...
Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa ni watu wa kudandia matukio hali inayowafanya wapoteze mwelekeo.
Nawakumbusha tu kwamba yule mwamba wa Kaskazini mh Ole Sabaya kesho ataendelea na utetezi wake...
"Ukitaka kujua nia ovu iliyopo, kwa mujibu wa sheria mtuhumiwa akikamatwa na Polisi akapelekwa kituo cha Polisi ana haki ya kutembelewa na ndugu zake, kupelekewa chakula na kutembelewa na...
Tanzania ni sehemu ya kikosi kilichotumwa chini ya mwamvuli wa SADC kupambana na ugaidi katika mkoa wa kaskazini mwa Msumbiji wa Cabo Delgado.
Awali serikali kupitia waziri wa mambo ya nje...
Kwani Serikali inakuwa na Nogwa na CHADEMA wanapokutana katika mambo yao ya katiba mpya na CHADEMA digital lakini wao hata baada ya kuweka katazo la kuwa na mikusanyiko lakin bado wao...
Taifa letu linatia aibu sana, maana ni kama hatuko ulimwengu wa karne ya ishirini na moja, ambayo inataka kuwe na usawa kwa binadamu wote. Maana hakuna ambaye ni special zaidi ya mwingine.
Kuna...
Spin Doctoring ni taaluma ya juu sana katika Ujasusi na ili mtu ujifunze ni lazima uwe na kipaji cha hali ya juu cha maswala hayo, ambacho kimsingi mtu huzaliwa nacho.
Nchini Marekani kuna mtu...
Kufanya uovu na kisha uovu ufanikiwe, ni lazima mwovu awe na akili yaani awe mwovu mwerevu. Ukiwa mwovu punguani, hakika hakuna uovu utakaoufanya ambao wenye akili hawataweza kuubaini.
Fikiria...
Mwanzoni tulisema humu, kwamba kuongoza nchi sio tu kulegeza macho na kurembua kwa madoido. Unatakiwa kukaza uzi kweli kweli na kuwa na maono mapana.
Pesa za nchi hii zinaliwa na majizi machache...
Angalau viwanja vya mpira kila mkoa kama kiwanja cha DaresSalaam cha Rais mstaafu Benjamini mkapa...,,,Rais hili unaweza.
2. Daraja toka DaresSalaam mpaka zanzibar ili kuifanya zanzibar isijione...
Kuna siku Tanzania itampata DPP anayeweza kujisimamia
Kuna siku Tanzania itanpata IGP anayejitambua na kutumia akili zake mwenyewe
Kuna siku Tanzania itaongozwa na Mkurugenzi wa TISS mwenye...
RAIS SAMIA SIKIA SAUTI YA ASKOFU!
Kuna Waraka unasambaa katika mitandao ya kijamii unaosadikiwa kuandikwa na Bishop Ikongo. Waraka huo unadai kuwa Waraka wa Wizara wenye kichwa: "Mabadiliko ya...
"Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe...
Imeandikwa na Ansvert Ngurumo kulitia Sauti Kubwa
Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kuwa yeye na hayati John Magufuli ni kitu kimoja. Wapo walioyabeba maneno hayo kama yalivyo. Wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.