Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Nimemsikiliza Askofu Gwaima alichoongea kwenye mazishi ya Mzee ndesamburo,Hakika kama maasikofu wa katoliki wangekuwa na ujasiri kama gwajima.Nchi hii ingepona siku nyingi.
Gwajima hajang'ata maneno juu ya kilichotokea. Naumia sana maaskofu wa RC wanavyofumbia macho mambo haya.Na wakiendelea na ukimya kwa uonevu huu,Kanisa litabaki tupu.Nikiwa wa kwanza kutoka
Mungu akubariki Askofu Gwajima,Kweli wewe ndie kiongozi wa kiroho.