Leo waziri mkuu Kasimu Majaliwa ametembelea wilaya ya Karagwe, wakati anahutubia hajagusia roho ya uchumi wa wilaya ya Karagwe - kahawa. Bila maendeleo ya zao la kahawa, hakuna maendeleo ya...
Udhalimu wa tawala za kiafrika huwa na kawaida ya kuwatengeneza wapinzani wao kwa namna ya mateso na MAPITO makali.
Kuna mambo yanayofanana Sana Kati ya HH na FAM Mimi nitatoa ninayoyaona wewe...
Kuharibika kwa mfumo wa ajira kumeangusha taifa kiuchumi kisiasa na kiutamaduni na CCm inaporomoka na madhira haya.Kwa kawaida state ina nafasi nzuri ya kupick best intellectuals kuliko sekta...
Nimefuatilia nyuso za walinzi wa JPM na Samia Suluhu Hassan ni tofauti. Wamembadilisha.
Vivyo hivyo wale wa enzi za JK ni tofauti kabisa na wa JPM. Hili lipo hata kwa Makamu wa Rais na Waziri...
VIJANA TUKIZEEKA TUZEEKE KAMA MAALIM SEIF.
Na: Suphian Juma
.Historia fupi ya Maalim Seif
.Nini cha Kujifunza kwake
.Musiba, kibaraka wa dola anayetumika kama gari taka dhidi ya Maalim Seif...
Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.
Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.
Atoe neno maana kama...
NIMENG'ATUKA ACT WAZALENDO-SUPHIAN.
Najua wengi mmeumia sana. Mmestaajabishwa mno na maamuzi ya Chama changu cha ACT wazalendo kukubali kuungana na Serikali ya Magufuli na Mwinyi tuliyoitangazia...
Ni wakati muafaka Vyama vyenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wajiwezeshe na kujipanga ili kuishataki CCM katika Umoja wa Mataifa.
Tunajua ipo kesi au madai ya WaZanzibari kudai nchi yao ambayo...
Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii Dkt. Kigwangalla amesema anajivunia kuongeza idadi ya watalii, kuongeza mapato ya serikali na kuanzisha Jeshi Usu katika wizara hiyo wakati wa uongozi wake...
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema
Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es...
Wanabodi,
Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu...
Mwanzo nilikuona wa maana sana kumbe ndio walewale walamba viatu na wajali matumbo yao. We ni mtu wa ovyo, mzandiki na usiyefaa hata kidogo!
Umeamua kuwafukuza wananchi wa Chunya kwenye eneo lao...
Ni furaha sana kwangu. Mimi nikiongea na wananchi, wanapotoa machozi, wakisema kwa furaha. Nanukuu machache:
"Nimefurahia sana nchi kuwa ilivyo na yenye hadhi" "Nilikuwa mvivu, ila sentensi ya...
MHE. HEMED: MKOA WA KUSINI MUMEFANYA JAMBO LA KIHISTORIA LITAKALOKUMBUKWA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameupongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha...
Ni mtazamo wangu tu lakini inavyoelekea Chief Hangaya ameachia hii kesi ili Polisi waaibike na mwisho wa siku kuna watu watanyolewa vichwa hapa! Subirini muons maana sio kwa udhaifu ambao Polisi...
Hukumu ya kesi namba 458 ya 2016 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums inatarajiwa kusomwa leo Novemba 17, 2020 katika Mahakama ya Kisutu
Katika shauri hili lenye mashtaka mawili, watuhumiwa...
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo
Kitila amesema mwekezaji...
Baada ya kuona mfumo wa vyama vingi unanyima uhuru wa wenye dola kujiamria mambo watakavyo wenyewe, tumebuni mkakati unao kuhakikisha kuwa ifikapo mwishoni mwa 2020 Tanzania haitakuwa na vyama vya...
Kuna tofauti kubwa kati ya dunia ya kwanza na hii yetu ya third.
Wakati askofu Gwajima akiitwa kwenye tume za maadili za bunge na CCM na kuadhibiwa kwa kuhoji umadhubuti wa chanjo wenzetu kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.