Kesi ya Ugaidi ya Mbowe itaondoka na watu Polisi!

Ni mtazamo wangu tu lakini inavyoelekea Chief Hangaya ameachia hii kesi ili Polisi waaibike na mwisho wa siku kuna watu watanyolewa vichwa hapa! Subirini muons maana sio kwa udhaifu ambao Polisi wanaonesha kwenye utetezi wao huko mahakamani.

Mama anaupiga mwingi!
Hahhahaa lazima iondoke na kichwa cha mtu.

Watakaza lakini itawabumia tu.
 
Ni mtazamo wangu tu lakini inavyoelekea Chief Hangaya ameachia hii kesi ili Polisi waaibike na mwisho wa siku kuna watu watanyolewa vichwa hapa! Subirini muons maana sio kwa udhaifu ambao Polisi wanaonesha kwenye utetezi wao huko mahakamani.

Mama anaupiga mwingi!
Umeandika kiraia Sana ,hivi hujui kesi nyingi tu Police/serkali hushindwa na watu hadi wanastafu au wewe ndio mara yako ya kwanza kusikia kesi ngumu ya polisi

USSR
 
Samia anaweza kuja kuwashangaza watu wengi.

Habari za ndani ya Jeshi la Polisi, IGP alimdanganya Rais, kiasi cha Rais kuamini kuwa kweli kulikuwa na uovu uliokuwa umepangwa na Mbowe. Kadiri mambo yanavyoenda, tayari amejua ujinga wote uliofanywa.

Ameachwa kila kitu kiende mpaka mwisho, atakapochukua hatua, kutakuwa na uthibitisho mwingine toka mahakamani kuwa Siro na wenzake wanaendelea na uchafu wao wa kuwabambikia watu kesi. Hapo ndipo, Rais atachukua uamuzi dhidi ya wanaolichafua na kulidhalilisha Taifa.
 
Samia anaweza kuja kuwashangaza watu wengi.

Habari za ndani ya Jeshi la Polisi, IGP alimdanganya Rais, kiasi cha Rais kuamini kuwa kweli kulikuwa na uovu uliokuwa umepangwa na Mbowe. Kadiri mambo yanavyoenda, tayari amejua ujinga wote uliofanywa...
Ila huyu mheshimiwa anayedanganyika kwenye kila jambo anatufaa kweli? Hii achilia mbali kwenye hiyo mi 5 mingine ya huyo rais mwanamke wa post 2025?
 
Ni mtazamo wangu tu lakini inavyoelekea Chief Hangaya ameachia hii kesi ili Polisi waaibike na mwisho wa siku kuna watu watanyolewa vichwa hapa! Subirini muons maana sio kwa udhaifu ambao Polisi wanaonesha kwenye utetezi wao huko mahakamani.

Mama anaupiga mwingi!
Hana hiyo akili pale yupo kikatiba kasema mwenyewe,yupoyupo tu hajui kua yeye ni raisi
 
Samia anaweza kuja kuwashangaza watu wengi.

Habari za ndani ya Jeshi la Polisi, IGP alimdanganya Rais, kiasi cha Rais kuamini kuwa kweli kulikuwa na uovu uliokuwa umepangwa na Mbowe. Kadiri mambo yanavyoenda, tayari amejua ujinga wote uliofanywa. Ameachwa kila kitu kiende mpaka mwisho, atakapochukua hatua, kutakuwa na uthibitisho mwingine toka mahakamani kuwa Siro na wenzake wanaendelea na uchafu wao wa kuwabambikia watu kesi. Hapo ndipo, Rais atachukua uamuzi dhidi ya wanaolichafua na kulidhalilisha Taifa.
Hii habari ni ya kweli?
 
ANAWEZA ASIWEZE
 
DPP amelala? awahi kusema hana nia ya kuendelea na kesi... serikali inaaibika and you ar still sleeping man!! What's your problem? Hata mabalozi wataona tunaviongozi waajabu Sana khaa aibu mpaka nashindwa kutoka nje!!!👮😱
 
IMG-20210918-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom