Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakaa nakutafakari sana kule tumetoka na kule tunaenda kama taifa. Nina amini kabisa kama Taifa mtakubaliana nami kazi kubwa sana imefanyika mpaka leo hii yapata miaka zaid ya hamsini ya uhuru...
4 Reactions
2 Replies
957 Views
Na Dk Juma Mohammed Kwa mara ya kwanza, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa kwanza mwanamke wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato utakavyokuwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika kwa awamu ya kwanza inayohusisha barabara za kuruka na kutua ndege pamoja na jengo la...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Wazalendo, Leo nimetembelea soko la tegeta nyuki kujionea maafa yaliyotokea baada ya soko kuungua kwa 100% kwa sehemu ambalo soko lipo. Hii sehemu kidogo imejitenga. Ni jambo la kusikiyisha...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwa ujumla wamepata fundisho kuwa taifa letu linahitaji amani ndio maana kila mtanzania anataka kila hitaji la kisiasa lipatikane kwa amani. Hakuna haja ya kulumbana na kuvutana juu ya suala...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kutokana na kukua kwa tatizo la ajira nchini na kushuka kwa uwezo wa serikali kuajiri, Mhe. God bless Lema kupitia space ya Maria Sarungi anashauri serikali kuanzisha mfumo ajira za mikataba ya...
1 Reactions
1 Replies
983 Views
Kama tungebahatika hata kupata chama kimoja tu kinachojiendesha kitaasisi hapa Tanzania, 2025 tunge zungumza mengine, maana kilamtu leo anajua kuwa CCM inakuna nazi. Lakini lolote linaweza tokea...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
ZIARA TUNDURU Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini. Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya...
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Nahangaika kuangalia safari za Marais wa Afrika wanaokwenda kwenye kikao cha UN sioni wakitumia usafiri wa Kenya Airways wakati ndio usafiri pekee wakutoka Afrika yadi Marekani moja kwa moja...
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Ikulu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwa na viongozi mbali mbali mara baada ya kushuka kwenye kivuko cha MV Misungwi wakati akitokea Chato mkoani Geita. Rais...
8 Reactions
148 Replies
27K Views
Wakuu habari, Naomba moja kwa moja niwe mkweli juu ya hisia zangu kuwa nimefurahia mno utenguzi wa Nape kwenye nafasi yake ya uwaziri. Sababu moja wapo ya furaha yangu ni kuwa sasa Nape ndio...
19 Reactions
124 Replies
19K Views
Tukiwa maeneo yetu tunaambiana kuwa tusikosoe awamu hii kwa sababu ni awamu ya... 1. Dini yetu 2. Jinsia yetu 3. Kabila letu 4. Asili yetu. Hapana. Mimi sikuwa nampinga Hayati Magufuli kwa...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu. Vunjo, Moshi. Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu. Nape ameyasema hayo...
15 Reactions
82 Replies
9K Views
Tumezoea kuonyeshwa Rais Samia anapotua Airport mbalimbali akiwa na msafara wake. Hii safari ya Marekani hatujaonyeshwa akiondoka wala akitua Marekani? Mimi nataka kujua kaenda na ndege gani na...
14 Reactions
55 Replies
8K Views
Picha ya kwanza ni mgombea kwa tiketi ya CHADEMA, Bw. Dismas Luhwago akirejesha fomu za uteuzi kugombea kiti cha Udiwani Kata ya Luduga Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe, mkoani Njombe na ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Back
Top Bottom