Mfanano wa Freeman Mbowe na Hikainde Hichilema

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,518
Reaction score
42,790
Udhalimu wa tawala za kiafrika huwa na kawaida ya kuwatengeneza wapinzani wao kwa namna ya mateso na MAPITO makali.

Kuna mambo yanayofanana Sana Kati ya HH na FAM Mimi nitatoa ninayoyaona wewe unaweza kuongezea.

Wote ni mabilionea.
Wote wameonewa Sana na tawala dhalimu.
Wamefilisiwa biashara zao
Wamebambikiwa kesi.
Wamekaa jela.
Mwisho wa siku HH amevikwa taji na FAM anasubiri around the corner the trophy will be his.
Soon and very soon.
 
Udhalimu wa tawala za kiafrika huwa na kawaida ya kuwatengeneza wapinzani wao kwa namna ya mateso na MAPITO makali. Kuna mambo yanayofanana Sana Kati ya HH na FAM Mimi nitatoa ninayoyaona wewe unaweza kuongezea.

Wote ni mabilionea.
Wote wameonewa Sana na tawala dhalimu.
Wamefilisiwa biashara zao
Wamebambikiwa kesi.
Wamekaa jela.
Mwisho wa siku hh amevikwa taji na fam anasubiri around the corner the trophy will be his.
Soon and very soon.
Ha ha ha ha ha Duuh 🤣🤣🤣

#SiempreJMT
 
Hichilema ni msomi wa kukata na SHOKA.....

1)Shahada ya kwanza ya UCHUMI NA UTAWALA huko kwao Zambia....

2)Shahada ya pili aliipata huko Uingereza....

TOFAUTI YA KITAALUMA NI KUBWA SANA 🤣
 
Tofauti zipo;
1. Mbowe hana degree na Katiba ya JMT inataka mgombea uRais awe mhitimu wa degree or equivalent
 
Hichilema ni msomi wa kukata na SHOKA.....

1)Shahada ya kwanza ya UCHUMI NA UTAWALA huko kwao Zambia....

2)Shahada ya pili aliipata huko Uingereza....

TOFAUTI YA KITAALUMA NI KUBWA SANA 🤣
Kuna mpuuzi mmoja alikuwa na PhD alipoambiwa Luna COVID yeye akapima mpaka mapapai!
Akawajaza wajinga upuuzi wake
Mungu akamwonesha
Akauwa katibu mkuu kiongozi wake
Akaja kumuua na yeye
Asante mungu kwa wema wako 17.3.3021 ni siku kuu
 
Mada ni msomi wa kukata na SHOKA mh. Hichilema na ndugu Mbowe.....🤣
 
Udhalimu wa tawala za kiafrika huwa na kawaida ya kuwatengeneza wapinzani wao kwa namna ya mateso na MAPITO makali.

Kuna mambo yanayofanana Sana Kati ya HH na FAM Mimi nitatoa ninayoyaona wewe unaweza kuongezea.

Wote ni mabilionea.
Wote wameonewa Sana na tawala dhalimu.
Wamefilisiwa biashara zao
Wamebambikiwa kesi.
Wamekaa jela.
Mwisho wa siku HH amevikwa taji na FAM anasubiri around the corner the trophy will be his.
Soon and very soon.
Rubbish, faru John gaidi la saccos hawezi kuwa Rais wa Watanzania milele daima.
 
Udhalimu wa tawala za kiafrika huwa na kawaida ya kuwatengeneza wapinzani wao kwa namna ya mateso na MAPITO makali.

Kuna mambo yanayofanana Sana Kati ya HH na FAM Mimi nitatoa ninayoyaona wewe unaweza kuongezea.

Wote ni mabilionea.
Wote wameonewa Sana na tawala dhalimu.
Wamefilisiwa biashara zao
Wamebambikiwa kesi.
Wamekaa jela.
Mwisho wa siku HH amevikwa taji na FAM anasubiri around the corner the trophy will be his.
Soon and very soon.
Na hata wakikaa jela hawaonekani kama wanaumia. Full furaha tu
 
Kuna mpuuzi mmoja alikuwa na PhD alipoambiwa Luna COVID yeye akapima mpaka mapapai!
Akawajaza wajinga upuuzi wake
Mungu akamwonesha
Akauwa katibu mkuu kiongozi wake
Akaja kumuua na yeye
Asante mungu kwa wema wako 17.3.3021 ni siku kuu
Mungu ni mwema daima
 
Udhalimu wa tawala za kiafrika huwa na kawaida ya kuwatengeneza wapinzani wao kwa namna ya mateso na MAPITO makali.

Kuna mambo yanayofanana Sana Kati ya HH na FAM Mimi nitatoa ninayoyaona wewe unaweza kuongezea.

Wote ni mabilionea.
Wote wameonewa Sana na tawala dhalimu.
Wamefilisiwa biashara zao
Wamebambikiwa kesi.
Wamekaa jela.
Mwisho wa siku HH amevikwa taji na FAM anasubiri around the corner the trophy will be his.
Soon and very soon.
Hichelema ana degree kadhaa mbowe anaugaidi kadhaa

USSR
 
Back
Top Bottom