Kama alivyothubutu Nape na wengineo kumpinga Magufuli hadharani ni wakati sasa wa watu wa Magufuli kumpinga Mama hadharani ili kutoa mwelekeo kwa Wananchi Wazalendo wa nchi hii
Wakinyamaza...
Kuharibika kwa mfumo wa ajira kumeangusha taifa kiuchumi kisiasa na kiutamaduni na CCm inaporomoka na madhira haya.Kwa kawaida state ina nafasi nzuri ya kupick best intellectuals kuliko sekta...
Hili la Wamachinga Rais amenena
Na Israel Mngamba
Ni bahati njema kwamba idadi kubwa ya watu wetu katika taifa ni vijana, ambao ni nguvukazi muhimu katika juhudi za kujiletea maendeleo. Kuwa...
ZAMBIA
Kijana Aliyekuwa Amefungwa Jela Nchini Zambia Chini Ya Uongozi Wa Rais Edgar Lungu Aokota Dodo Chini Ya Mnazi.
Wakati Wa Utawala Wa Rais Edgar Lungu Kijana Huyu Ajulikanae Kwa Jina Mozunde...
Kipindi cha awamu ya tano makusanyo ya mwezi yalitangazwa,ila kwa sasa ni zaidi ya miezi mitano kimya kulikoni. Ukijumlisha na tozo ambazo tunalipa nadhani mapato yamepanda juu.
Rais Samia anaipaisha Tanzania kimataifa
Na Ashraf Kasebi
Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York...
Siasa siyo uadui.
Ziara ya sekretarieti ya CCM mikoa ya kusini imefana kiasi cha kulifunika kabisa tamasha la Simba hapo kwa Mkapa.
Yoyote stsksyemuona J J Mnyika wa Ufipa amkumnushe kuwa 2025...
Wakuu Mungu awe pamoja nanyi,
Kwenye mada moja kwa moja
Tz tupo wazee,vijana wa kike na kiume , ila Kama nguvu KAZI ya Taifa hili ,tumebaki tu, capacity yetu ya kushauri, kuelimisha imebaki tu...
Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amemtaka DPP atoe kauli ya kutotaka kuendelea na kesi ya Mbowe badala ya kuendelea kumtesa bila sababu za msingi.
Mnyika ametoa kilio chake kupitia ukurasa...
Bila Tume Huru ya Uchaguzi hapatakuwa na haitakaa pawe na Uchaguzi Mkuu wa Haki, Huru na Unaoaminika Tanzania. Upinzani tujihadhari na maneno 'matamu' ya Viongozi wa Chama Tawala ambao pia ni...
Wale wahenga mnakumbuka uchaguzi ndogo pale Temeke uliowahusisha Augustino Lyatonga Mrema wa Nccr mageuzi vs Abdul Cisco Mtiro( rip) wa CCM.
Ule uchaguzi ilikuwa ni kama Serikali vs NCCR Mageuzi...
Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk Rashid Chuachua amepiga marufuku magari yanayofanya matangazo ya misiba jijini hapa baada ya kuchukua miili ya watu waliofariki dunia hospitalini, akisema...
Hata mwaka hajamaliza katika uchifu wa kurithi lakini keshatangaza kuutaka uchifu 2025 wanaukoo tutakapo kaa kumchagua chifu kama taratibu za ukoo zinavyo taka. Sasa hapa uchumi utajengwa saa...
Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi...
Rais Samia anaipaisha Tanzania kimataifa
Na Ashraf Kasebi
Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York...
Ndugu zangu kwa Tanzania hakuna shirika la uma ambalo limepitia changamoto kama shirika la umeme TANESCO.Shirika hili tangu kipindi Cha Mzee wa ruksa wanasiasa walianza kulitumia kama kitega...
Ni bahati njema kwamba idadi kubwa ya watu wetu katika taifa ni vijana, ambao ni nguvukazi muhimu katika juhudi za kujiletea maendeleo. Kuwa na vijana wengi ni moja ya vigezo muhimu sana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.