Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi...
Mwanachama wa Chadema kamanda Dismas Andrea Luhwago wa kata ya Luduga wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe amejitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Udiwani wa kata hiyo.
Dismas amekula kiapo...
Nanukuu
"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."
Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru...
KATIBU MKUU UVCCM KENANI KIHONGOSI ASEMA UMEME NI 27.000 na NGUZO BURE NCHI NZIMA
Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Kihongosi leo ameendelea na ukaguzi wa Utekelezaji wa Ilano ya Uchaguzi ya...
Kwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu.
Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina...
Hivi sasa kuna makundi na makundi ya viongozi na wafuasi wa CCM kila kukicha wanazurula kwa kigezo cha kukagua miradi, kitu cha kujiuliza haiwezekani viongozi wawili wakakagua miradi badala ya...
Katika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF.
Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na...
Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa.
Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua...
Mzee Jakaya Mrisho Kikwete alitawala kama Rais wa JMT kuanzia mwaka 2005 hadi 2015.
Kizazi cha utawala huu ambacho hujulikana kama .com kitaanza rasmi kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za...
Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani?
Ingekuwa nchi za wenzetu kesi...
Wanabodi,
Tanzania ni nchi yenye katiba inayoendeshwa kwa misingi ya haki, the rule of law kwa kufuata misingi ya sheria, taratibu na kanuni. Kwenye kila jambo linatekelezwa kwa mujibu wa sheria...
Mkuu wa Wilaya Ni mwenyekiti wa ulinzi na Usalama, unapokuwa na DC anayeweza kumchafua au kutoa Siri za Rais na viongozi wa juu kwa public kisa tu amebanwa kwa makosa aliyoyatenda ipo siku au...
Nawasalimu wote.
Moja kwa moja kwenye mada, Kama kichwa Cha uzi Hapo juu kinavyojieleza kwamba huu Ni mtazamo wangu TU na Kama nimepotoka nitakubali kushauriwa na kukosolewa kwa staha na matusi...
Kati ya taasisi zinazolitia aibu Taifa letu ni Jeshi la Polisi. Jeshi hili limekosa weledi wa kutambua wajibu wake mkuu.
Genge la Majambazi
Kuna wakati Jeshi hili limethibitika kuwabambikizia...
Wenye Dawa ya Kunisaidia GENTAMYCINE niache Kudadisi sana mambo Magumu, Mazito na ya Siri ( ndani kabisa ) nipeni tafadhali.
Nimeangalia Hotuba za Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa sijawahi kuona...
Salaam Wakuu,
Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs...
Askari Polisi katika kituo Cha Polisi Mererani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wamelalamikiwa Kwa kupoteza Mali za mshtakiwa wakidaiwa kugawana katika mazingira ya utata na zingine kuzibadilisha...
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa afungua ofisi za TRA, Wilaya ya Chato, mkoa wa Geita
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akikata utepe kama ishara ya kufungua jengo jipya la ofisi...
Nafurahi kutarajia kuwa Mwakilishi wa Wana Singida Magharibi Bungeni 2020 kupitia Chama cha ACT Wazalendo.
Shabaha yangu ni kuiona Singida Magharibi mpya Mfano wa kuigwa nchini kwa SIASA SAFI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.