Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Nimefuatilia nyuso za walinzi wa JPM na Samia Suluhu Hassan ni tofauti. Wamembadilisha.
Vivyo hivyo wale wa enzi za JK ni tofauti kabisa na wa JPM. Hili lipo hata kwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Swali: Kwanini walinzi wa viongozi wa kitaifa huwa hawajirudii kumlinda kiongozi anayefuata?
Na wanapoachwa wanakuwa wanapelekwa wapi?
Inaonekana TISS wana staffs wengi sana. Maana sura mpya kila anapokuja kiongozi mwingine.