Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Miaka 22 imepita sasa tangu Baba wa Taifa atutoke, Tanzania imeendelea kuwepo na hakika itaendelea kuwepo sana. Mwalimu Julius Kambarage...
Viongozi wengi waliopita katika mikono ya Mbowe katika njia zao za kutafuta mafanikio ya kisiasa wamedumu katika siasa hadi sasa bila kujali wako chama gani!
Wahenga tunajua vijana wengi...
Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali
Je, RPC Kingai...
Watu wa Serikali za dunia wana siri zipi ambazo wao wanazijua sisi hatuzijui. Hawa watu huwa hawana hofu wala uoga
Wanaweza kuonea watu bila hofu yoyote. Wanaweza teka mtu bila wasiwasi wa kuwa...
Bado najiuliza hofu ni ya nini? 2025 itafika mtampitisha mnayemtaka na mtampigia kampeni kwa kadri mtavyotaka.
Hata mkiamua kumpitisha kibajaji ni sawa tu, maana yatakua maamuzi ya chama chenu...
YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA
Mh. Waziri Mkuu,
Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria...
Dr. Rugemeleza A.K Nshala, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society TLS amesema mfumo wa Jinai Haki ( Criminal Justice System) wa nchini Tanzania unahitaji mabadiliko makubwa kwa kufumuliwa na...
Ndugu zangu kwa Tanzania hakuna shirika la uma ambalo limepitia changamoto kama shirika la umeme TANESCO.Shirika hili tangu kipindi Cha Mzee wa ruksa wanasiasa walianza kulitumia kama kitega...
Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma.
Hii maana yake nini.
Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na...
Habari wakuu.
Baada ya kusoma kiarticle fulani, nimeona kitu hiki.
Tawala nyingi huanguka kutokea ndani. Si kitu rahisi watu kutoka nje kuangusha utawala ambao upo established. Mfano ni Rais wa...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Nguvu ya Chadema ni kubwa sana ndani ya Tanzania , na ndio maana Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi alipoona Chadema imekataa kukutana na IGP kwa hoja nzito...
Habari wakuu, leo nimewaza na kufikiria sana,tunapodai katiba mpya watu wanasema ni upinzani ndo wanashida na katiba, lakini ukweli upo wazi hata CCM wenyewe katiba hii itawaumiza sana ,rais...
NAWAANDIKIA kuwahimiza vijana wa CCM kuipigania CCM na serkali yake popote mtakapokuwa, iteteeni CCM, mtetee Rais wetu Samia Suluhu Hassan, semeni mema yanayofanyika na awamu ya sita kwa nguvu...
Nilishaandika maandiko mengi juu ya fikra za watawala wetu na Demokrasia tunayoiamini..
Ubaya NI kwamba Uchina ilipiga hatua kuanzia 1980 baada ya kufata Utawala wa kimagharibi. Waliporuhusu...
Kijana mmoja aliyeonekana kama machinga amenusurika kipigo ndani ya daladala la Posta - Makumbusho baada ya kumwambia konda amshushe kituo cha Hamza akimaanisha Ubalozi.
Abiria wenye hasira...
16 September 2021
Dar es Salaam, Tanzania
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi azungumzia utaratibu wa kuingia ndani ya Mahakama Kuu Maalum na...
Nimekuta malumbano huko twitter na baafhi ya watu wanakejeli kuwa anayeandika mtiririko wa kesi ni Bonny Jacob na siyo MMM kama wengi wanavyofikiria.
Ndio nauliza, huyo Bonny kazuiwa na katiba...
Kuepuka kuonekana mbaguzi epuka kulalia upande mwingine.
Position nzuri kuassume ni traditional position na kuacha kabisa kuzungumzia tena jinsia...
Huwezi msikia Chansela wa ujerumani akisemea...
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.