Whither Tanzania? The country we need and the one we happen to have
TUESDAY SEPTEMBER 21 2021
Minister for Information, Communications and Information Technology, Dr Ashatu Kijaji. PHOTO | FILE...
Open Letter to the Tanzania Police Force Regarding Attacks against Tundu Lissu - Robert Amsterdam
Today Robert Amsterdam of Amsterdam & Partners LLP has published an open letter addressed to the...
kama kuna wanasiasa vijana nchi hii ambao mimi binafsi nawakubali sana kutokana na uwezo wao wa kiakili, wewe ni namba moja mheshimiwa. iko hivyo kwangu muda mrefu tu. na si mimi tu, kuna wengine...
Nimesikia kwa kifupi kupitia ITV habari mjumbe mmoja wa mkutano wa wakuu wa Upelelezi wa nchi za Afrika Mashariki akisema wamejadili Ugaidi wa Dar es salaam na Mombasa.
Nauliza tu Ugaidi wa Dar...
Kinachoikwamisha Zanzibar ni huu Muungano usio na faida ,unajua hata hii Mikoa kama ingeweza kujitawala yenyewe mbona kuna Mikoa ingekuwa haikamatiki kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi wake...
Matukio mengi makubwa yaliyowahitukia, ama katika maisha ya mtu wa kawaida au katika maisha ya ziada ya mtu mwenye historia, yametukia katika muda usio muafaka wa maisha yake.
Kwa mfano, kanuni...
Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na...
Bara la Afrika hivi sasa linahitaji kuona wasomi wake waliojengwa kwa gharama kubwa wakilitumikia kwa uhuru mkubwa sana wakiongozwa na dhamira za weledi wao na nguvu zao za kitaaluma na kitaalam...
“NAWAOMBENI MUKAFANYE KAZI KWA KUWATUMIA WATANZANIA” MHE. HEMED
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abulla amewataka Mabalozi walioteuliwa karibuni kuendana na kasi ya viongozi...
KUELEKEA 2025, ROMA LOCUTA, CAUSA FINITA!
Na MariaMungu Charles
KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria...
My Take:
Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira.
Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit.
Mwana kulitafuta mwana kulipata
Upinzani wa Tz unatakiwa kuzaliwa upya kwa kutumia mifumo ya demokrasia komavu na pevu za USA na Uingereza ambapo mgombea anaposhindwa uchaguzi mmoja basi uchaguzi unaofuata hagombei tena bali...
Leo ni nimewaza sana nikagundua mambo mawili kwanza people we differ kama alivyosema msomi wa kitambo hicho hayati TUTEMEKE SANGA(MAKETE) Lakini pia nikakumbuka ule mstari wa biblia unao sema kuna...
Uhitaji wa kizazi kipya kabisa cha upinzani chenye agenda mpya, dira mpya na mwelekeo mpya wa kisiasa haukwepeki tena kutokana na kwamba CCM chini ya Mwenyekiti wake rais JPM kilichukuwa mwelekeo...
Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.
Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima...
Akipoingia madarakani tu baada ya hayati JPM kufariki kila mtanzania alianza kukenua meno na kusema tumaini jipya limekuja.
Tumaini la kutatua kero za kila namna za kisiasa. Huduma za kijamii...
Kwa miaka mitano ya uongozi wake hayati rais Magufuli aliutumia kuwafundisha na kuwafumbua macho watanzania kwa maana nyingine kukarabati mind zao.
Hayati Magufuli alikarabati mind za watanzania...
Mahojiano ya Lema na Msigwa ndani ya KTN, nadhani Lema na Msigwa walikuwa wana mambo mengi ya kuiambia dunia lakini ukosefu wa maneno kadhaa ya kiiengereza kumewaficha sana.
Mfano neno dictator...
Kwa minajili ya kuleta uwajibikaji mzuri wa serikali na usimamizi mzuri wa mhimili wa bunge kwa serikali, muda sasa ni muafaka kwa taifa letu kuanza kutafakari uwezekano wa Rais wa Jamhuri ya...
"TUSHIRIKIANE KUIPAMBA TEMEKE" DC JOKATE.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Urban Mwegelo leo Septemba 20,2021 amefanya kikao na viongozi wa machinga wilaya ya Temeke,watendaji wa mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.