Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna baadhi ya vitu yani kama ni binadamu wa kawaida kabisa vinatia kichefuchefu sana. Hivi ni kweli kwamba kila kitu kinachofanyika katika nchi hii na vingine ni vya aibu na vingine wala Rais...
14 Reactions
52 Replies
4K Views
CCM ina wanachama zaidi ya Mil 8. Chanjo zimeletwa kwa watu Mil 1. Mwenyekiti wa Chama kasema watu wakachanje naye akaenda chanja kama mfano. Mpaka leo chanjo si zaidi ya 400,000. Hii ni Hujuma...
0 Reactions
2 Replies
789 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene, ameelekeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchini kuwatafuta watu wote wanaowachafua wenzao mitandaoni hasa wanaomdhihaki Rais wa...
2 Reactions
85 Replies
9K Views
Sote tunakumbuka ya Clouds na report ya CAG kuhusu malipo zaidi ya milioni 600, kwa kisingizio cha kutangaza utalii wa ndani. Leo, kati kati ya huduma mbovu za miundo mbinu ya bara bara, shule...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Criminal Case No.208/2016 iliyokuwa ikimkabili Tundu Lissu na wenzake watatu katika Mahakama ya Kisutu, imefutwa na DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai...
14 Reactions
201 Replies
21K Views
WanaJf, Salaam! Nimefanya utafiti mdogo kwenye sekta ya viwanda nikagundua mrundikano wa tozo, kodi, na ushuru vinavyotozwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mfano kwa wilaya ya Bukoba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna mtu anaweza kuja na nadharia zake dhaifu kupinga lakini huu ndio ukweli. Hakuna mtawala aliyewahi kukubali kukaa chini na kupendekeza mabaliko ya katiba bila msukumo kutoka kwa wananchi...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Ni swali ambalo limetokana na yanayoendelea katika sakata la Mbowe. Wabunge wanarushwa mubashara. Tunasikia mawazo yao, malumbano yao, na hata ufyatu wao. Tunasikia wakishangilia na wakizodoa...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out. 1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza...
141 Reactions
330 Replies
25K Views
Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa. Kama takwimu hizi ni...
3 Reactions
141 Replies
11K Views
Ipo siku Tanzania italipuka kupitia hujuma za uchaguzi! Ipo siku yaliyomkuta Nikolae ceacescu wa Romania tarehe 25 December, 1989 tutayaona Tanzania Ipo siku Watanzania wataigeuka CCM na wana...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani...
13 Reactions
71 Replies
4K Views
KUELEKEA 2025, ROMA LOCUTA, CAUSA FINITA! KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata madereva wa magari madogo katika eneo la Kariakoo, wanapokodiwa na Wafanyabiashara wanaonunua mizigo...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
22 September 2021 Jenerali Ulimwengu: Tunapoelekea tunazidi kupotea, baada ya kushindwa kazi yake anavamia ya mwenzake
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema. Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January...
33 Reactions
111 Replies
11K Views
Unaruhusiwa kuja Dar es salaam lakini lazima uwe na sifa maalum ila unaruhusiwa kuja kumsalimia ndugu yako lakini usikae sana"- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
9 Reactions
372 Replies
45K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amewapongeza wamachinga wa mkoa wa Morogoro kwa kuweza kujipangia utaratibu mzuri wa kufanya biashara. Prof. Kitila Mkumbo amewaalika Mawaziri...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Makonda ameyasema hayo jijini Dar es salaam kwamba mkoani kwake anataka maendelo tu. Pia kagusia na mheshimiwa mzito kupelekwa milembe, angalia dk ya 3 ya video Kwa upande wangu naona zitto...
7 Reactions
224 Replies
27K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akibisha hodi kwenye mlango mmoja katika banda linalodaiwa kutumiwa kwa biashara ya ukahaba, katika eneo maarufu kwa jina la Uwanja wa Fisi, lililopo...
0 Reactions
95 Replies
19K Views
Back
Top Bottom