MWAG
Member
- Sep 15, 2021
- 7
- 5
Leo ni nimewaza sana nikagundua mambo mawili kwanza people we differ kama alivyosema msomi wa kitambo hicho hayati TUTEMEKE SANGA(MAKETE) Lakini pia nikakumbuka ule mstari wa biblia unao sema kuna matoashi wa kuzaliwa na kuna matowashi wa kutengenezaa lakini hayo yote yalianzia mbalibasi nilikuwa na watafakari marais wawili JOHN POMBE MAGUFULI NA SMIA SULUHU HASSAN nikagundua kitu kimoja hawa jamaa ni watu wawili tofauti na watu wanahindwa kuelewa hapo tu wanapo taka wabehave kwa staili moja yaani ni kwamba hiko hivi
MAGUFULI
Huyu yeye ni kiongozi wa kuzaliwa yaani katika maisha yake akusoma sana masomo ya uongozi yaani kiufupi sio mbobezi katika masuala ya siasa lakini ana kipaji cha siasa ndio maana aliwaongoza hadi washauri wake akataka wamshauri juu ya ndoto zake yeye yaani waonee ni namna gani mawazo yake yanavyo weza kutia ukimuona sio mtu wa kufuata taratibu yeye anahamua nini cha kufanya kwa mda gani MFANO;- ni juu ya safari za nje kuuzuria vikaombalimbali kiufupi ni kazi ya mheshimiwa rais lakini yeye hiyo kazi alimpa waziri mkuu na makamo wa rais lakini pia ziara za ndani ni kazi ya waziri mkuu lakinii alizifanya yeye hii ndio sifa ya kiongozi wa kuzaliwa mbave na afuati utaratibu tofauti na
Samia
Yeye ni msomi amesoma lakini pia ni mzoefu amefanya kazi umoja wa mataifa sababu tu ya elimu yake ndo maana yeye anafuata utaratibu uwe mbaya uwe mzuri protocal ni muhimu kwake kuliko kitu chochote kile kwahiyo tumuache haiwakilishe nchi huko vikaoni nje ya nchi muacheni haunde tume imshauri cha kufanya juu ya uviko 19 kwa leo mpendwa nikipata nafasi zaidi nitakushirikisha juu ya uzuri na ubaya wake.