Mkutano wa Wapelelezi wa Afrika Mashariki mjini Kigali Rwanda; Wajadili Ugaidi wa Dar es Salaam na Mombasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,901
141,840
Nimesikia kwa kifupi kupitia ITV habari mjumbe mmoja wa mkutano wa wakuu wa Upelelezi wa nchi za Afrika Mashariki akisema wamejadili Ugaidi wa Dar es salaam na Mombasa.

Nauliza tu Ugaidi wa Dar es Salaam ni ule wa Hamza au ni hii kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe?

Mungu ni mwema wakati wote!
 
We umekosa kabisa uzalendo. Kila siku unaleta vionjo vya taarifa ya habari ya ITV. Ina maana wewe kama kada hautazami taarifa ya habari ya TBC1? Kuwa mzalendo kama Mzee Mgaya uwe unaleta mambo ya TBC1
 
Nimesikia kwa kifupi kupitia ITV habari mjumbe mmoja wa mkutano wa wakuu wa Upelelezi wa nchi za Afrika Mashariki akisema wamejadili Ugaidi wa Dar es salaam na Mombasa.

Nauliza tu Ugaidi wa Dar es Salaam ni ule wa Hamza au ni hii kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe?

Mungu ni mwema wakati wote!
Waulize maccm wenzako boss
 
Back
Top Bottom