Nimemuona DC Hapi katika maadhimisho ya asasi ya Patrice Lumumba.
Kuna maelezo aliyoyatoa kuhusu maisha ya watu wanaoishi maeneo ya uwanja wa fisi.
Amesisitiza kuwa yeye hataamuru polisi kupita...
1. Upande wa utetezi katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu leo umepinga kupokelewa kwa maelezo ya shahidi namba 2 wa jamhuri Afande Ramadhani Kingai na maelezo ya...
Asalam-aleikhoom Wana-JF!
Lengo kuu la mada hii ni kujibu maswali au HOJA mbili au zaidi hapa chini, kwamba:
1. Kwanini CCM haibadiliki kifalsafa na kisera kuhusu demokrasia ya vyama vingi, haki...
Nawapongeza sana Mkonda na Dr. Bashiru kwa kuwa waungwana hasa wakinata na ile methali isemeyo mtu mzima akivuliwa nguo uchutama. Wahishimiwa hawa waungwana na watu ambao walifanya kazikubwa sana...
Kwa kifupi awamu ya 5 ilisimamia sera zetu wapinzani tulizozisimamia kwa muda mrefu tofauti iliyokuwepo ni kwamba tofauti za kisiasa zilifanya awamu hiyo itushambulie na sisi wapinzani.
Ni wakati...
Tangu Alhamisi iliyopita TBS wanarekebisha website yao.
Kutokana na marekebisho hayo, huduma muhimu za kulipia Malipo ya TBS kwa magari yaliyo bandarini zimekwama. Mteja huwezi kutengeneza...
Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.
Kangi...
Morogoro.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa...
Pamoja na ukweli kwamba Polisi haitakiwi kujihusisha na siasa ukweli ni kwamba Polisi inajihusisha sana na siasa. Kibaya zaidi hakuna uamuzi wa kueleweka na kila kiongozi wa Polisi anafanya...
Wana bodi,
Katika pita pita zangu niki tazama hali ya siasa nchini ikiwemo kesi inayo mkabili Freeman Mbowe na mbinu zinazo tumiwa na wana CHADEMA kudai katiba mpya, nime jiuliza maswali ambayo...
Kuna mtu mmoja ambaye yuko kwenye mambo ya sheria aliwahi kuniambia hamna mwanasheria yoyote anayependa kuwa upande wa pili na Kabudi, awe muafrika au beberu.
Bwana mdogo Amsterdam alipoanza...
Nimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu...
Kwa Sasa Ni ndoto ya wachache Ila kwa sehemu kubwa Ni kero kwa wanufaika. Watatakaje katiba mpya wakati wananufaika?
Watatakaje katiba mpya wakati wanaona Raha na kufurahia tu madaraka...
Hayati Magufuli alipata hii shida ikabidi akope wabunge wa Chadema akina Mwita Waitara na Dr Mollel na kuwapa uwaziri.
Na sasa ni kama tatizo bado lipo Waziri wa ulinzi bado hajateuliwa labda...
_
MALYA: Ulipojiunga na Jeshi la polisi ulikuwa na miaka mingapi?
SSP Ngichi: 28
MALYA: Kwa mujibu wa PGO ni sahihi kwamba mtu akiwa na miaka 28 haruhusiwi kujiunga na jeshi la Polisi?
SSP...
Tanzania ni Nchi wa Mfumo wa Vyama Vingi,
Kwa mujibu wa katiba iliyopo inavitaka vyama vyote kufanya siasa kwa maana mikutano ya hadhara na ya ndani
Cha kushangaza ni chama kimoja tu ambacho ni...
Enyi Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe na Iringa Richard Kasesela nitafuteni GENTAMYCINE upesi ili niweze 'Kuwabariki' na 'Mkono' wangu wa 'Baraka' ili nanyi msiwe mnasahaulika Kupandishwa...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo...
Whither Tanzania? The country we need and the one we happen to have
TUESDAY SEPTEMBER 21 2021
Minister for Information, Communications and Information Technology, Dr Ashatu Kijaji. PHOTO | FILE...
Open Letter to the Tanzania Police Force Regarding Attacks against Tundu Lissu - Robert Amsterdam
Today Robert Amsterdam of Amsterdam & Partners LLP has published an open letter addressed to the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.