Taswira kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html
Katika jamii yoyote ile ya binadamu tangu enzi za ujima hata sasa, binadamu wamejiwekea mifumo...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wakala wa chakula NFRA kuweka utaratibu mzuri ili kumaliza sintofahamu iliyopo juu ya ununuzi wa mahindi Manispaa ya Songea kwa kuhakikisha wananchi wote...
Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html
Kwa kuzingatia historia ya utendaji wa bunge letu na mabaraza ya madiwani na jukumu la msingi...
Rais Samia ataka wananchi wasichukulie kirahisi mabadiliko ya tabia ya nchi
The Diplomat
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliojadili athari za...
Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html
Mnamo Agosti 4 - 6, 2014 US ilikuwa na mkutano baina yake na baadhi ya viongozi wa Afrika...
Awamu iliyopita wale jamaa wa kuchangamkia fursa walitengeneza slogan ambayo ilikuja kupata umaarufu Sana.
Slogan iliitwa MATAGA maana yake ni Make Tanzania Great Again.
Sasa hivi wale wazee wa...
Wakuu Kwema!!!
Tutozane.
Tukamuane,
Tuzinguane,
Tuchapane,
Tuchanane,
Lakini tusiuane.
Kwa kweli Mimi Taikon naona ni mara elfu Tozo kuliko Kutekana, kuuana, kupotezana Kwa kisingizio cha...
Nasema hivo kwa sabau zifatazo:.
•CCM imekuwa madarakani tokea kaundwa kwake mwaka 1977 na kwa sababu hiyo kutokana na hurka za wanadamu kimeonesha kupoteza ushawishi kadri siku zinavoenda.
•CCM...
Bado naendelea kushtushwa na kitendo cha IGP kusema kua wana mpango wa kukagua mafunzo yalotolewayo na na taasisi za kidini humu nchini, watuambie kua Polisi huo ujuzi wameutoa wapi na...
Wanabodi,
Wanao fuatilia kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe lazima wana fahamu kwamba kuna kushinda na kushindwa. Kushinda kuna ashiria mambo mengi lakini kubwa kuliko lote ni kwamba...
Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya wabunge wa CCM amesema wamewahoji wabunge watatu ambao ni Komredi Polepole, askofu Gwajima na Jerry Slaa
Amesema ni utaratibu wa chama kurudishana kwenye mstari...
Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo...
Nimesoma taarifa kuwa waziri Makamba atafukuza watu umeme ukiendelea kukatika nimejikuta nasema 'yale yale'..
Makamba mashabiki wake wanampamba Sana kama mtu mwenye akili na Presidential material...
CCM YATAKA WAWAKILISHI WAKE KUWA KARIBU NA WANANCHI
Songea, Ruvuma
19 Septemba, 2021
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka viongozi wa chama hicho...
Kitendo cha kuvitaka vyama vya siasa vikutane na jeshi la polisi kupata usuluhishi kuhusu haki ya kufanya siasa ni kukwepa wajibu wako, vyama husika vipo kisheria na viliposajiriwa vilipata...
Wadau nchi yetu inaongozwa kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo japo kuna Ukiukwaji Mkubwa wa KATIBA Unafanyika na Wenye KINGA Zao.
VYAMA vya SIASA vipo kwa Mujibu wa KATIBA na Shughuli zao zimeainishwa...
Freeman Mbowe afungua mashitaka Umoja wa Mataifa kuhusu Haki zake wakati anakamatwa na kuendelea kubakia kizuizini mpaka sasa.
Mashitaka hayo yameshapokelewa na kuingizwa kwenye Mfumo rasmi...
Baadhi ya Picha za makovu ya watuhumiwa wa Ugaidi wanaoshitakiwa pamoja na Mbowe zimeanza kuonekana hadharani, hawa watu waliteswa kinyama! Hii nchi haikuwahi kufikia unyama kama huu , tena kwa...
Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.
Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.