Hayati Rais Magufuli alifanya kazi nzuri ya kukarabati namna ya watanzania kufikiri

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
1,336
2,000
Kwa miaka mitano ya uongozi wake hayati rais Magufuli aliutumia kuwafundisha na kuwafumbua macho watanzania kwa maana nyingine kukarabati mind zao.

Hayati Magufuli alikarabati mind za watanzania kutoka kuaminishwa kuwa Tanzania ni masikini na kuanza kuamini kuwa Tanzania ni tajiri na mara moja akaanzisha ujenzi wa miradi ya matrillioni ya fedha kwa kutumia pesa za ndani.

Hayati Magufuli alikarabati mind za watanzania kutoka kuaminishwa kwamba ili wawe na maisha mazuri ni lazima washiriki maandamano ya Chadema na badala yake akawafundisha kwamba ili wawe na maisha mazuri ni lazima wafanye kazi kwa bidii.

Leo unapoona Lisu na Chadema wanaitisha maandamano alafu hamna mtu hata mmoja anayejitokeza barabarani kuandamana ujue ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na hayati Magufuli ya ukarabati wa akili za watanzania kwa miaka 5 mfululizo.

Watanzania wa leo wanajitambua wanajua ni yupi mwanasiasa anayetetea maslahi yao na ni yupi mwanasiasa mchumia tumbo ,Gaidi na wakala wa mabeberu.

Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
4,027
2,000
Marais wote waliotawala Tanzania wameweza kufanya hilo kila mmoja kwa wakati wake.
Sema tu labda tafsiri ya kufikiri inaweza kuwa tofauti kulingana na nyakati za tawala zao.
 
Pac the Don

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
968
1,000
Hapo kweny miradi kwa pesa za ndan ni 🚮🚮🚮!! Hapo kweny maisha mazur ni lazima washiriki maandamano ni 🚮🚮🚮! Hapo kweny gaidi ni 🚮🚮🚮!! Next time weka hoja za msingi usilete propaganda za kijinga!!
Kwa miaka mitano ya uongozi wake hayati rais Magufuli aliutumia kuwafundisha na kuwafumbua macho watanzania kwa maana nyingine kukarabati mind zao.
Hayati Magufuli alikarabati mind za watanzania kutoka kuaminishwa kuwa Tanzania ni masikini na kuanza kuamini kuwa Tanzania ni tajiri na mara moja akaanzisha ujenzi wa miradi ya matrillioni ya fedha kwa kutumia pesa za ndani.
Hayati Magufuli alikarabati mind za watanzania kutoka kuaminishwa kwamba ili wawe na maisha mazuri ni lazima washiriki maandamano ya Chadema na badala yake akawafundisha kwamba ili wawe na maisha mazuri ni lazima wafanye kazi kwa bidii.
Leo unapoona Lisu na Chadema wanaitisha maandamano alafu hamna mtu hata mmoja anayejitokeza barabarani kuandamana ujue ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na hayati Magufuli ya ukarabati wa akili za watanzania kwa miaka 5 mfululizo.
Watanzania wa leo wanajitambua wanajua ni yupi mwanasiasa anayetetea maslahi yao na ni yupi mwanasiasa mchumia tumbo ,Gaidi na wakala wa mabeberu.
Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
7,992

Hata propaganda hujui, lakini unakuta ccm wanakulipa, hili dude ccm ni bogasi sana, kama mimi ndiye kiongozi wao leo hupati mshahara
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom