Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

Sirro anazeeka vibaya.

Inaelekea akilala anaweweseka kutokana na udhalimu wa jeshi la polisi kwa wananchi tangu awe IGP
Mauaji Kibiti, Zanzibar, Utekaji watu na kubambikizia watu.
Kadri anavyozidi kuzeeka na kukaribia kustaafu ndo anazidi kuwa IGP katili na asiyejitambua zaidi katika historia ya nchi hii.

Hatujasahau alivyokuwa pacha wa Makonda alivyokuwa kamanda wa Polisi Dar na mambo ya kidhalimu aliyofanya hapa Dar
 
View attachment 1943298
View attachment 1943311
My Take:

Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira.

Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit.

Mwana kulitafuta mwana kulipata
Ninyi watu ni wa ajabu sana.

Sasa jogging club na ujumbe wa "Tume Huru" kwenye fulana zenu wapi na wapi?

Kila anaefanya jogging si avae nguo za mazoezi za kawaida tu nani angewazuia?

Kwanini ujumbe katika fulana zenu usiwe "Bawacha Jogging Club".

Na hata mngabeba mabango yasemayo "Join Bawacha Jogging Club Today", ingekuwa poa na IGP Sirro asingeona taabu.

Wakati mwingine muwe mnatumia akili zenu mnapopanga majambo yenu.
 
Ujumbe kwenye Tshirt unavunja sheria gani ya nchi?
 
Ninyi watu ni wa ajabu sana.

Sasa jogging club na ujumbe wa "Tume Huru" kwenye fulana zenu wapi na wapi?

Kila anaefanya jogging si avae nguo za mazoezi za kawaida tu nani angewazuia?

Kwanini ujumbe katika fulana zenu usiwe "Bawacha Jogging Club".

Na hata mngabeba mabango yasemayo "Join Bawacha Jogging Club Today", ingekuwa poa na IGP Sirro asingeona taabu.

Wakati mwingine muwe mnatumia akili zenu mnapopanga majambo yenu.
Usipotaka kuona jezi yenye maneno "TUME HURU" means unaficha weakness za tume na hivyo una conclude kwamba tume iliyopo sio huru. Sasa kwanini wananchi wasitafute namna ya kupata TUME ILIYO HURU.
 
Naona neno unyanyasaji wa kijinsia linataka kutumika vibaya itafika kipindi ukiongea na mwanamke utaambiwa unamnyanyasa kijinsia.Naona mnautumia uanamke wenu vibaya
 
Back
Top Bottom