Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wajumbe wake wapya ni Dr. Chamuliho, Dr. Kalemani, na Cde. Polepole. Powers za kamati hii ni zipi?
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini...
8 Reactions
151 Replies
21K Views
Siasa siasani, na hatimaye tumefika nzuri hatuna budi kubaki watazamaji. Watu mashuhuri na wasanii mbalimbali wamealikwa Serena hotel kwenye hafla ya kuongea na kumpongeza Mama kwa hotuba na...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania. Msemaji wa...
78 Reactions
141 Replies
14K Views
Tunaishi kwa mawazo( Idea) zilizopita na kuboreshwa lakini hatuishi maisha ya mtu aliyepita (Mfu). Tunatumia kanuni( Theory) zilizopita na kuboreshwa za akina Newton Einstein, Michael ANGEL...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
https://www.bbc.com/swahili/habari-55858592?at_medium=custom7&at_custom2=facebook_page&at_custom1=%5Bpost+type%5D&at_custom4=A494A7C6-6245-11EB-B662-298196E8478F&at_custom3=BBC+Swahili&at_campaign=...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Bondia wakuu. Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunakoelekea komredi Polepole anaweza kurejea asili yake na kuanzisha upya vuguvugu la kudai katiba mpya. Je, tumuunge mkono kwa sababu Chadema limewashinda?
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Bwana Yesu asifiwe wapendwa. Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu. Tega sikio hapa hapa bwashee. Nawatakia Dominica yenye baraka!
5 Reactions
94 Replies
7K Views
Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuacha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao. Huko Ushetu CCM na ACT pekee wamepigiwa kura zaidi ya laki...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu chama chetu Cha CCM ndo kulikuwa chama Cha kwanza kuzindua Mambo ya CCM digital. Walikuja na App ya CCM kwenye play store, ili wanachama wajisajiri kidigitali. Ukweli CCM hatujafanya vizuri...
15 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya Jaji kiongozi Kula uteuzi hapo Jana jamii ya kitanzania imeendelea kulaani kitendo cha Rais kumteua Jaji katika kesi ya kisiasa yenye maslahi mapana ya nchi ,hivyo wananchi sasa wanaona...
7 Reactions
7 Replies
769 Views
2020 Kulikuwa na upepo wa ajabu kwa wabunge wengi wa CCM kwani walibebwa kama watoto wachanga na JPM na Livingston Lusinde ni shahidi kwani yeye alisema kuwa kunawabunge hata kwa kuzikiri bila...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Tukumbushane tu. Mosi, inaitwa ni Bajeti ya Serikali na mkuu wa serikali ni Rais. Pili, Bajeti ya serikali huandaliwa na serikali yenyewe kisha hupitishwa na bunge baada ya majadiliano na...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafakari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa. Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama. Itakua nipatashika...
3 Reactions
83 Replies
5K Views
Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana. 1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye...
28 Reactions
109 Replies
12K Views
Nakumbuka chaguzi ndogo kuanzia Dr Lamwai enzi zile za Manzese hadi Dr Augustino Lyatonga Mrema nyakati za akina Cisco kule Temeke. Lakini siku hizi chaguzi ndogo zimedorora sana, mfano jana...
1 Reactions
1 Replies
593 Views
Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
"Mh. Rais Samia kama ambavyo nawasikia Viongozi wa CCM kwamba toka umeingia madarakani wana kauli yao wanasema umeupiga mwingi, kazi nzuri unayofanya Watanzania wanaiona tuna matumaini makubwa na...
3 Reactions
3 Replies
704 Views
Kumtemesha mtu tonge mdomoni au haki za watu anazo hodhi haijawahi kuwa bila mpambano. Maridhiano hayawezi kutokea mitandaoni. Tunayo ya kujifunza kutokea Zanzibar walikofanikiwa kuionja tamu na...
1 Reactions
0 Replies
758 Views
Back
Top Bottom