Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

operativetz

Member
Dec 5, 2018
56
125
Uchaguzi utakuwa rahisi sana huu.Kuna chama kikimpitisha kikamsimika huyu, kitapigwa vibaya sana hata wakiiba kura hazitatosha. 😂😂
 

Nipo huru

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
1,188
2,000
Mullah Samia ana Vision ya kuifanya Tanzania kuwa Emirate islamiyaah

Khodhafis.
Kama alivyojaribu Babu yenu Nyerere(mnayetamani kumuabudu) kuifanya Tanzania iwe jamhuri ya kikatoliki lakini akashindwa japo alijaribu kwa mara ya pili kwa kumtumia kibaraka wake Mkapa naye akashindwa na yule mwingine akapaishwa mawinguni kabla hajainajisi kabisa Tanzania yetu.
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,833
2,000
Uchaguzi utakuwa rahisi sana huu.Kuna chama kikimpitisha kikamsimika huyu, kitapigwa vibaya sana hata wakiiba kura hazitatosha.
Jiandae kisaikolojia, Samia anamalizia miaka minne aliyoicha Magufuli, then anapiga ya kwake 10, halafu tunamuongeza mitano ya shukrani.

Swala la Rais mpya mlifikirie kuanzia 2040.

Ukweli mchungu huu umeze tu ili usipate ugonjwa wa moyo kutamani kitu ambacho hakipo, ur kissing the wind.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom