CCM tukubali kuwa Chadema wako mbele Sana kidigitali

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Wakuu chama chetu Cha CCM ndo kulikuwa chama Cha kwanza kuzindua Mambo ya CCM digital.

Walikuja na App ya CCM kwenye play store, ili wanachama wajisajiri kidigitali. Ukweli CCM hatujafanya vizuri kwenye hili. Hata mitandaoni Mfano Tweeter, JF ni kama Chadema wameiweka hiyo Mitandao mfukoni.

Sasa Chadema walikuja na Chadema Degital, ukweli wamefanya vizur Sana, especially kwenye kusajiri wanachama katika mfumo wa kidigitali, Katibu mkuu wao wa Bawacha, Catherine Rugge, yupo vizuri kwenye organization hii.

CCM na Chadema vitabaki vyama vikubwa vya siasa, hivyo kwa CCM igeni mazuri ya Chadema, na nyinyi Chadema igenii mazuri ya CCM.

Maendeleoa hayana chama.

IMG_20211009_085952.jpg
IMG_20211009_085939.jpg
IMG_20211009_082417.jpg
IMG_20211009_082341.jpg
 
Kila kitabu na zama zake huez linganisha Motorola c36 na iPhone 13 ingawa zote unaweza piga na kuongea 🤣🤣🤣🤣
 
Mbowe always ubunifu wake ni ahead of everybody else

CCM wamevamia idea ya Mbowe ya digital na mahela yao makubwa kama bahari ila you can see CDM is way ahead regardless.

Wanachoshindwa kuelewa CCM ni kwamba,sio kuiga tu,digital ni idea which stays in peoples' psych na sio uzuri wa App tu

CDM can penetrate peoples' thinking and psych in a very different way whereby many people can relate.

Ni very sad CCM kufikiri ni just "uzuri" wa App sababu ya mapesa yao makubwa waliyoibia wananchi serikalini,issue hapa ni "idea" as a thought process

Kwa ujumla,social media is dominated by CDM thoughts and people resonate with that....

Go see web analytics,trends,etc then uje hapa!
Kwa Mitandao Chadema wame dominate ukienda Tweeter ndo basi
 
Back
Top Bottom