Lile Jambo kutoka kwa Rais Samia ni Leo, tega masikio yote mawili

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,039
2,000
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.

Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.

Tega sikio hapa hapa bwashee.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Jambo linatoka kwenye BRAIN, nadhani unanielewa. Jambo lilitoka juzi kutoka kwenye kamati ya Nobel Prize, yenye BRAIN, jambo toka kwenye brain! BRAIN iko wapi ya kutoa jambo?
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
32,063
2,000
Mmetupa Wakati Mgumu Sana Yaani Tumetega Masikio Mpaka Yanauma, Tangazeni/Semeni Lolote Tu

Ivumayo Haidumu,
Msitutishe!!!

Ama Ndiyo Mtasema Dulla Kapigwa Jana Kwa Point Wakati Wote Tumeona Live. Tupumzisheni Kidogo
Tupate Japo Kumeza Mate Kidogo

Ama Mzigo Mpya Wa Johnson And Johnson Mpango Wa Covax Tunaongezwa Dose. Ama Issue Ya Sensa
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,531
2,000
Mmetupa Wakati Mgumu Sana Yaani Tumetega Masikio Mpaka Yanauma, Tangazeni/Semeni Lolote Tu

Ivumayo Haidumu,
Msitutishe!!!


Ama Ndiyo Mtasema Dulla Kapigwa Jana Kwa Point Wakati Wote Tumeona Live. Tupumzisheni Kidogo
Tupate Japo Kumeza Mate KidogoAma Mzigo Mpya Wa Johnson And Johnson Mpango Wa Covax Tunaongezwa Dose. Ama Issue Ya Sensa
Mvumilivu hula mbivu!
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,868
2,000
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.

Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.

Tega sikio hapa hapa bwashee.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Tuna imani na Samia, hali mradi yule shetani yupo kuzimu, tumpe ushirikiano mama.

Dosari yake kwangu ni kuingizwa mkenge kesi ya Mbowe tu, lakini muda anao wa kurekebisha na DPP kamteuwa yeye.
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,868
2,000
Anataka kutangaza kuwa Chanjo ni lazima.Kwa kuwa ameona kuna pesa huko kwenye chanjo.
Sukuma gang masalia, mmeachwa wajane na yatima.

Nawapa ushauri wa bure mmpeane zamu ya kwenda kulinda kaburi la mungu wenu chato, mungu anayekufa, ajabu kwelikweli.

Hii ni zamu ya wakojani, wacha wale lakini hawatutesi wala kutujaza woga na hofu kama ulivyokuwa utawala wa ibilisi shetani wenu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom