Wanauchumi msaada: hii mbinu ya Mwigulu kuongeza mzunguko wa pesa ipo sawa?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Bondia wakuu.

Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za tozo zitaenda kuleta neema.

Sasa hizi hela za tozo kabla ya kukatwa zilikuwa wapi? Si zilikuwa kwa wananchi kwenye mzunguko. Sasa akizitoza na kuzirudisha tena kuna mzunguko wowote wa pesa unakuwa umeongezeka?
 
Kuna tofauti kati ya kusomea uchumi na kutumia mbinu za kiuchumi. Uliza kama Bakhresa amesomea uchumi au anajua mbinu za kiuchumi.
Ukisomea uchumi hata mbinu za kiuchumi pia si unafundishwa?
 
Madelu alisema pesa zitamwagwa kwenye mzunguko, lakini tunachoshuhudia pesa zinakamuliwa kutoka kwenye mzunguko kwa kutumia utitiri wa tozo na kupanda bei za bidhaa wakati mishahara ya watumishi iko palepale mwaka wa saba huu..........huyo ndo mchumi daraja la kwanza bhanaaa anayehamishia raia burundi.
 
Bondia wakuu.

Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za tozo zitaenda kuleta neema.

Sasa hizi hela za tozo kabla ya kukatwa zilikuwa wapi? Si zilikuwa kwa wananchi kwenye mzunguko. Sasa akizitoza na kuzirudisha tena kuna mzunguko wowote wa pesa unakuwa umeongezeka?
Mwigulu Nchemba ni memba mwenzetu, hebu alijibu swali lako
 
Bondia wakuu.

Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za tozo zitaenda kuleta neema.

Sasa hizi hela za tozo kabla ya kukatwa zilikuwa wapi? Si zilikuwa kwa wananchi kwenye mzunguko. Sasa akizitoza na kuzirudisha tena kuna mzunguko wowote wa pesa unakuwa umeongezeka?
Bwana Madelu anatwanga maji kwenye kinu baada ya kwenda kuyateka mtoni na tenga kutokana na kutojaza ndoo ikiyotoboka aliyokua akikinga mbonani

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Bondia wakuu.

Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za tozo zitaenda kuleta neema.

Sasa hizi hela za tozo kabla ya kukatwa zilikuwa wapi? Si zilikuwa kwa wananchi kwenye mzunguko. Sasa akizitoza na kuzirudisha tena kuna mzunguko wowote wa pesa unakuwa umeongezeka?
Sio tuu mzunguko bali mzunguko wenye tija.

Zimeleta tija ya vituo vya afya,maji,mashule na barabara Vijijini.

Hakuna jipya hapo ni sawa na Kodi tuu zingine unazozijua wewe,zinachukuliwa kwa watu afu zinarudishwa kwa tija zaidi.

Mngebakia nazo mngeishia kuhongana tuu na hakuna cha maana sana zingeleta .
 
Zimeongeza mzunguko hazijaongeza?
 
Back
Top Bottom