johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,976
Tukumbushane tu.
Mosi, inaitwa ni Bajeti ya Serikali na mkuu wa serikali ni Rais.
Pili, Bajeti ya serikali huandaliwa na serikali yenyewe kisha hupitishwa na bunge baada ya majadiliano na hatimaye husainiwa na Rais wa JMT kuwa sheria.
Tatu, kama Bajeti iliyoandaliwa na serikali ikafanyiwa marekebisho baada ya mjadala bungeni na Rais akagundua ina mapungufu/makosa kabla ya kusaini anaweza kugoma kuisaini na kuirejesha bungeni kwa marekebisho.
Hivyo wanaosema kwa mfano Rais Samia ametoa fedha kwa mradi fulani wako sahihi kabisa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!