Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya wafuasi wa Chadema wameipongeza hatua ya Rais Samia kuitaka mahakama itende haki katika mashauri yanayoletwa mahakamani. Baadhi ya wafuasi wa Chadema wamepongeza hatua hiyo ya Rais...
11 Reactions
63 Replies
5K Views
Kuchanganya lugha mbili kwenye elimu ya Tanzania kunasababisha watanzania wasipate maarifa ya kutosha kwenye masomo. Mwanafunzi anayeingia kidato cha kwanza anaanza kama darasa la kwanza kwa...
0 Reactions
3 Replies
742 Views
Kwa namna nilivyoona wazanzibar walivyojitokeza kwa wingi na bendera za vyama vyao yaani CCM, Chadema, Cuf, Nccr na ACT wazalendo katika mapokezi ya ndege mbili aina ya Air Bus kiukweli hayati...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 18 Septemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza...
31 Reactions
191 Replies
25K Views
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr...
27 Reactions
253 Replies
21K Views
Ni Dada ( Mama ) ambaye kuanzia ndani ya Chama Tawala (CCM) alikuwa amepikwa vyema ila alipokuwa DC wa Ilala kila alipotakiwa Kupandishwa kuwa Mkiu wa Mkoa kuna Mtu Mmoja (sasa amenyamaza sana)...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni Kesho Tarehe 10 octoba 2021 Ndani ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete (Conversion Center) Dodoma, Chifu Mkuu wa Machifu wote #Tanzania #Hangaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa #Tanzania Mhe @SuluhuSamia...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Kesi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni ya kawaida tu kama zilivyo kesi nyingine na yeye siyo kiongozi wa kwanza wa upinzani kukumbwa na kesi. Wapo akina Mtikila na yule aliyesigina katiba pale...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanabodi! Hebu tujadili suala hili. Kuna mataifa uhai wa raia wake ukiwa rehani utaona namna wanavyohangaika kumuokoa raia husika. Pia kuna mataifa mengine wanatajwa kuwa wenye furaha...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Natarajia kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya jeshi la polisi, naitaka mahakama kuu itoe tafasiri na/ muongozo wa je Jeshi la polisi linaruhusiwa kuteka raia au kukamata raia? Na Je kukamata ni...
11 Reactions
64 Replies
5K Views
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine. Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama...
53 Reactions
400 Replies
41K Views
Jesca Kishoa, Mbunge Elimu ya msingi na sekondari sasa imetajwa kuwa elimu msingi. Serikali ilitekeleza azimio la kutoa elimu ya upili bila malipo. Hii ilifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanabodi, Mengi yametokea katika kinyang'anyiro hiki cha kudai tume huru na katiba mpya na mengi yatazidi kutokea. Hatujapata uamuzi wowote ila ni vyema kama tungetupia jicho kwenye katiba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shirika la Chakula duniani FAO limeishauri Tanzania kuweka kipaumbele katika zao moja la kilimo litakaloitambulisha nchi yetu kwenye soko la kimataifa. Chanzo: Radio One My take; Pendekeza zao...
7 Reactions
79 Replies
5K Views
Watanzania mnapowapigia kelele vijana wa jeshi la Polisi kwa kisingizio kwamba hawana akili na maarifa kwa kuwa waliajiriwa na D mbili mnapotoka. Nasema mnapotoka kwa sababu unapohukumu waliofeli...
3 Reactions
3 Replies
980 Views
Hapo sikuwagusa CCM kwakuwa katiba mpya siyo yao peke yao, ni ya watanzania wote walipa kodi. Nimesikia tetesi kuhusu mipango ya kuokoa pesa zilizotumika uwanja wa Chato maana baada ya kifo cha...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo tarehe 2 octoba 2021 Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga kumefanyika kongamano la Katiba Mpya pamoja na Tume Huru ya uchaguzi, kongamano hilo kama ilivyo ada limeandaliwa na ile Taasisi Kabambe...
27 Reactions
53 Replies
6K Views
Ni wazi kabisa sasa polis wamechukua nafasi ya CCM kushindana na vyama vya upinzani. Huku CCM ikiwa mtazamaji napengine kuwapo kama haipo. Tofauti ndogo nikwamba polis wanamiliki siraha na...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
Niliuliza hili swali kupata maoni, sio hapa tu ni kwenye majukwaa mbalimbali, Asante kwa wote waliotoa maoni yao. Lakini kwa ufupi misaada na Mikopo kihistoria vilianza miaka ya 1945 na ilikuwa...
2 Reactions
120 Replies
8K Views
Wengi wetu ndio kwanza tumefahamu kuwa mshindi wa nishani ya Nobel wa mwaka huu kwa upande wa fasihi ni Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar Abdulraza Gurnah. Ndio kwa mara ya kwanza tumeviona...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom