Je, komredi Polepole akianzisha movement ya Katiba mpya tumuunge mkono au tumpotezee?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,808
141,711
Tunakoelekea komredi Polepole anaweza kurejea asili yake na kuanzisha upya vuguvugu la kudai katiba mpya.

Je, tumuunge mkono kwa sababu Chadema limewashinda?
 
Polepole yupi unaemuongelea? Yule wa tume ya Warioba, au yule wa V8? Au huyu ng'ombe aliyekatwa mkia masalia ya Sukuma gang?

Hebu tuweke sawa kwanza hapo, maana hawa Polepole wote si mtu mmoja, ni watu watatu tofauti, na wakikutana lazima watandikane ngumi.
 
Tunakoelekea komredi Polepole anaweza kurejea asili yake na kuanzisha upya vuguvugu la kudai katiba mpya.

Je, tumuunge mkono kwa sababu Chadema limewashinda?
Mnafiki huyo. Alikuwa na nafasi ya kumshauri Rais juu ya hayo anayoyazungumza leo. Lakini alinogewa madaraka na salute nyingi .

Lakini sishangai kwani hata Nyerere , Lowassa ,Sumaye nk waliona ubovu wa katiba baada ya kutoka madarakani . Na kutamani ifanyiwe marekebisho. So BINAADAMU KWA ASILI NI WANAFIKI
 
Hahahaaaa....... Binadamu kwa asili ni mnafiki!
 
Tunakoelekea komredi Polepole anaweza kurejea asili yake na kuanzisha upya vuguvugu la kudai katiba mpya.

Je, tumuunge mkono kwa sababu Chadema limewashinda?
Jambo lolote jema ni la kuungwa mkono. Lakini ule utopolo wake wa Uongozi sijui uchafu gani abakize huko huko kwa wahuni wenzie
 
Mnafiki huyo. Alikuwa na nafasi ya kumshauri Rais juu ya hayo anayoyazungumza leo. Lakini alinogewa madaraka na salute nyingi .

Lakini sishangai kwani hata Nyerere , Lowassa ,Sumaye nk waliona ubovu wa katiba baada ya kutoka madarakani . Na kutamani ifanyiwe marekebisho. So BINAADAMU KWA ASILI NI WANAFIKI
Nilifurahi sana Lowasa alipokwama kutokana na ubovu wa katiba aliyotetea.

kweli malipo ni hapa hapa duniani.
 
Tunakoelekea komredi Polepole anaweza kurejea asili yake na kuanzisha upya vuguvugu la kudai katiba mpya.

Je, tumuunge mkono kwa sababu Chadema limewashinda?
Bwashe hiyo itakuwa Katiba ya Sukuma gang siyo ya nchi. Lazima tuipotezee. Haijawahi kutokea Intarahamwe kupigania Katiba ya nchi.
 
Aanzishe kwani madai ya katiba mpya yamesimama? Kwa sasa hivi hata akijifanya anajiingiza kwenye madai ya katiba mpya, tunajua kabisa ni kenge kwenye msafara wa mamba. Atafute wanafiki wenzake wadai katiba mpya.
nakoelekea komredi Polepole anaweza kurejea asili yake na kuanzisha upya vuguvugu la kudai katiba mpya.

Back
Top Bottom