Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana. Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki...
7 Reactions
166 Replies
18K Views
Leo hii tarehe 2 Septemba, 2021 Shirika lisilo la Kiserikali World Vission limeazimisha miaka 40 ya utendaji kazi yake hapa Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Za kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza. Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,* Anachangiwa...
26 Reactions
96 Replies
9K Views
Chadema wakiandikisha wanachama wao kwenye mfumo wa kidigitali.
11 Reactions
32 Replies
45K Views
Kama tulivyowahi kueleza huko nyuma, nguvu ya umma haijawahi kuzuilika kamwe, hii ni kwa sababu binadamu si kama mifugo kwamba unaweza kuiburuza utakavyo. Bavicha inaendelea na makongamano nchi...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Mzee Ludovick Utoh, Sasa akiongoza taasisi iitwayo wajibu, alikuwa CAG kwa miaka 8. CAG mmoja hivi amenyooka Kama rula, akipiga kila palipostahiki pasi na kusita mradi tu maslahi ya imma...
28 Reactions
72 Replies
6K Views
Watu wanasema Awamu Mpya imeanza, tutakuwa na maridhiano, Mwendazake ameondoka, sasa tumeanza zama mpya za maridhiano, hiyo siyo kweli. Mtafute Mungu wakati kuna nafasi. Kama watu wamekasirika...
3 Reactions
3 Replies
880 Views
Ni muda wa kuchunguza neno (Neno umasikini lilikotokea WAMETUANDALIA SIASA ZA NAMNA GANI KUELELEA 2025). Haiwezekani umaskini unaongezeka ilihali maisha yanaendelea kuboreshwa kwa haya yafuatayo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
UTENDAJI KAZI: MAJALIWA KASSIM MAJALIWA •Tarehe 10/4/2021 anafanya ziara kukagua ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere lililopo Rufiji na kuwaahidi Watanzania kuwa ujenzi utaendelea kama...
23 Reactions
150 Replies
10K Views
MHE.NDUGULILE (MB) ATEULIWA KAMATI YA SHERIA NDOGO NA MASUALA YA UKIMWI Mbunge wa Kigamboni Mhe.Faustine Ndugulile Leo Oktoba 09,2021 amekuwa sehemu ya walioteuliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi kama Mtanzania nipendaye lugha yangu ya Kiswahili nasikitika sana kuona lugha hii ikiharibika. Chakusikitisha zaidi ni kwamba hakuna kiongozi yeyote wa juu kuanzia Rais, waziri wa utamaduni...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato. Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani Chato.
8 Reactions
75 Replies
6K Views
Kuna viongozi ni wanafiki, waongo, wasiojiamini, wenye uwezo mdogo, pale Serikali inapotoa hrea kwaajili ya miradi mbalimbali, hutamka eti Rais ametoa hela! Rais hana hela, hela ni ya wananchi...
3 Reactions
2 Replies
738 Views
Serikali yetu inajikanganya sana. Tuliambiwa lengo la tozo ni kujenga madarasa nchi nzima. Kwenye hotuba ya Rais wetu mpendwa, akasema kunakifedha kakipata mahala. Cha ajabu serikali inakuja na...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati. HT gazeti Mwananchi.
20 Reactions
174 Replies
15K Views
Kuna watu huwa wamesoma sana lakini ni wagumu kuelewa. Huyu Dr Sengati ana matatizo gani? Kaonywa lakini haelewi! Hawa ndio tunaita thick headed!
15 Reactions
111 Replies
14K Views
Ms. Jesca Kishoa, Mbunge Kwa mujibu wa IMF takribani fedha zaidi $1 trillion zilitengwa mahususi kama mpango wa dharula wa kuwezesha kifedha zaidi ya nchi 90 zilizoathirika na UVIKO-19. Mpaka...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu, Siasa ni ustahimilivu na kuvumiliana lakini kutumia maneno makali inategemeana na aina ya mtu. Niwatolee mfano tu mtu kama mwendazake Mdude angemjibu hivi ingekuwa sawa kabisa maana bwana...
46 Reactions
169 Replies
13K Views
Back
Top Bottom